Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AANZA ZIARA MKONI MOROGORO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete aanza ziara Uingereza

RAIS Jakaya Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara nadra kufanywa na viongozi wa nchi za nje nchini Uingereza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Oktoba 21, 2014, anaanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping, ikiwa ni ziara yake ya pili nchini humo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Baada ya China, Rais Kikwete atafanya ziara rasmi ya siku tatu nchini Vietnam kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo.

Wakati wa ziara yake nchini...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na IGP Ernest Mangu wakati akiondoka katika Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wakuamkia leo tayari kuanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya
Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala MheRaymond Mushi wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa waJulius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya




 THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MOROGORO, AFANYA MAJUMUISHO

Rais Kikwete akiongoza kikao cha majumuisho baada ya kutembekea Mkoa wa Morogoro. Rais Kikwete akiongea kwenye kikao hicho. Kulia ni Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akifuatiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent…

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ahitimisha ziara ya mkoa wa Morogoro, afanya majumuisho na watendaji

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris  alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao cha majumuisho na watendaji wa mkoa huo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa wa Morogoro. Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Rais Kikwete akiwashukuru wafadhili wa miradi ya afya ya mama na mtoto mkoani Morogoro. Watendaji wa kada...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ASAFIRI KWA TRENI YA TAZARA KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri zawadi ya picha ya jengo la makao makuu ya TAZARA akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na...

 

10 years ago

GPL

MAELFU YA WANANCHI WAMLAKI RAIS KIKWETE GAIRO, KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO

Rais Kikwete akihutubia umati wa watu waliojitokeza  kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. Rais Kikwete akipata picha…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani