Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Anzisheni vikundi vya maendeleo’

JAMII imetakiwa kuanzisha vikundi vya maendeleo ili kushirikiana na kusaidia shughuli za kiuchumi katika maeneo yao. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Ofisa Tarafa wa Magomeni, Flugens...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali: Anzisheni vituo vya msaada wa sheria

Serikali imetoa wito kwa watu wenye uwezo kuanzisha vituo vya kutolea msaada wa kisheria kwani mahitaji yake bado ni makubwa hapa nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Mfuko wa maendeleo ya vijana kukopesha vikundi 453

SERIKALI inatarajia kukopesha vikundi vya uzalishaji mali vya vijana 453 katika mwaka wa fedha 2014/15 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

 

11 years ago

Habarileo

Msajili akerwa na vikundi vya ulinzi vya Chadema, CCM

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty NyahozaOFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiri kukerwa na vikundi vya ulinzi vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

StarTV

Polisi yapiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja

Polisi  nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa  vinaingilia majukumu yao.

Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.

Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao kwenye mabano kuwa ni Green Guard (CCM),...

 

9 years ago

Dewji Blog

SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao

IMG_0942

Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi   cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.

IMG_0945

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku akimpa mama msaada wa shilingi 50,000 zisaidie kumnunulia Neema Jonson (29) mkazi wa kijiji cha Mgongo wilaya ya Iramba kitanda. Neema ni mlemavu wa miguu na...

 

10 years ago

Vijimambo

Kiama vyama vya siasa, Mageuzi kuwalazimu kubadilisha Katiba zao, Lengo ni pamoja na kufuta vikundi vya ulinzi

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Mtikisiko mkubwa unavikabili vyama vya siasa nchini, vinapoandaliwa kufanya mabadiliko ya lazima kwa Katiba zao, ili pamoja na mambo mengine, vifute vifungu vinavyohalalisha uhai wa vikundi vya ulinzi na usalama.

Hatua hiyo inatokana na kubainika kuwapo kwa vifungu vya katiba hizo hasa vinavyohusu uwapo wa vikundi vya ulinzi na usalama na hivyo kukiuka Katiba ya nchi inayotoa haki hiyo kwa majeshi ya ulinzi na usalama.

Taarifa za uhakika...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo yakagua miradi ya vikundi vya Vijana vya Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma

Katibu wa Kikundi cha Muungano kilichopo kijiji cha Oloboloti kata ya Mrijo Halmashauri ya Chemba Mkoani Dodoma kinachojishughulisha na mradi wa kilimo cha nyanya aliyenyoosha mikono katikati Bw Juma Ally akitoa maelezo kwa Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa tatu kutoka kushoto Bi Amina Sanga katika ziara ya kukagua miradi ya Vijana, ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yanayotolewa na Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Mfuko wa Vijana. Katibu wa Kikundi cha Umoja...

 

10 years ago

Habarileo

Vikundi vya wanawake vyapewa mil. 7/-

HALMASHAURI ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara imekabidhi hundi zenye thamani ya Sh milioni saba kwa vikundi 11 vya wanawake wajasiriamali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Koka asaidia vikundi vya ujasiriamali

MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametumia zaidi ya sh milioni 150 kuwezesha vikundi vya ujasiriamali vilivyopo katika jimbo lake, ikiwa ni pamoja na vikundi vya wanawake na vijana. Koka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani