Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


APICO KUZINDUA KALENDA YA KIISLAM 7JUNI MWAKA HUU.

 Mwenyekiti wa maandalizi taasisi ya Kiislamu ya APICO Tanzania Ltd Habibu Masano akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO JIJINI Dar es Salaam leo, wakati wa kutoa taarifa ya uzinduzi wa Kalenda ya Kiislam itakayo tumiwa na madhehebu yote ya Dini ya Kiislam duniani,inayotarajiwa kuzinduliwa Juni 7 Mwaka huu katika viwanja vya Karimjee jijiji Dar es Salaam.Mratibu wa taasisi ya Kiislamu ya APICO Tanzania Ltd,Abasi Said Mzeri  akizungumza na waandishi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KESI YA CHID BENZ YAPIGWA KALENDA MPAKA JANUARI 21 MWAKA HUU

Mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar. (Picha na Maktaba Yetu) KESI inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu. Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika...

 

5 years ago

Michuzi

KESI YA ANAETUHUMIWA KUMUUA MSAIDIZ WAKE WA KAZI ZA NDANI YAPIGWA KALENDA HADI APRIL 8, MWAKA HUU

Na Jusline Marco-Arusha

Kesi namba 5,ya mwaka 2020 ya mauaji inayomkabili Mkami Shirima mwenye umri wa miaka 30,kwa kumuua Salome Zakaria mwenye umri wa miaka 18 ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani mnamo Machi 6 mwaka huu imeahirishwa Hadi tarehe 8 April mwaka huu.

Kwa upande wake wakili wa serikali Penina Joakimu  amesema kuwa kutokana na upelelezi kutokamilika ameiomba mahakama kupangiwa siku  nyingine.

Akizungumza hakimu mkazi mfawizi wa mahakama ya wilaya Arumeru,Amalia Mushi alisema kesi ...

 

10 years ago

Michuzi

FASTJET KUZINDUA SAFARI YA LILONGWE-MALAWI JULAI 27 MWAKA HUU

DSC_0263Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro (kulia) akifafanua jambo kwa wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa mkutano wa wandishi wa habari akielezea kampuni hiyo ilivyoweza kusaidia sanaa kwa Tanzania na Afrika. Kushoto kwake ni CEO wa ZIFF, Prof. Martin Mhando.Na Andrew Chale.Shirika la ndege la Fastjet limeendelea kupanua wigo wake kwa kuanzisha ‘rout’ zaidi za safari zake ikiwa ni kuunganisha Afrika kuwa moja.
Kwa mujibu wa Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy...

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya IPTL yapigwa kalenda hadi mwisho wa mwaka

Kesi ya kupinga maazimio ya Bunge iliyokuwa ianze kusikilizwa leo imeahirishwa hadi siku ya kufunga mwaka Desemba 31, 2014.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AJUMUIKA NA WANA ISTIQAAMA TANZANIA KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM 1436 HIJRIYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania katika ukumbi wa Karimjee       Dar es salaam leo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Istiqaama tawi la Pemba Sheikh Mohammed Suleiman alipowasili viwanja vya karimjee Dar es salaam leo Novemba 09, 2014, katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

9 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YASHEHEREKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM-1437H KIJIJINI RUFIJI NA KUKABIDHA MISAADA MBALI MBALI.

Mmoja wa wenyeji wa msafara wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation, Ustaadh Thabit pamoja na watoto wakipokea vifaa mbali mbali vya malazi na maji kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa taasisi hiyo. Mmoja wa wajumbe wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation Ndugu Hussein akimkabidhi magodoro Ustaadh Thabit wa kitoa cha elimu cha Irada – Bungu kwa ajiri ya vijana wanaolala hapo kwa masomo ya dini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

9 years ago

Michuzi

Fastjet kuzindua safari kati ya Tanzania na Kenya mwezi huu


Shirika la ndege la bei nafuu lapanua wigo wa safari zake barani Afrika na kufungua safari ya kimataifa ya moja kwa moja kutoka Nairobi kwenda Dar es Salaam na Kilimanjaro.
 Kampuni ya Fastjet imetangaza safari yake mpya ya kimataifa ya kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi, Kenya kuwa itaanza rasmi mnamo tarehe 11 Januari 2016.Fastjet imepewa ruhusa na serikali ya Kenya kufanya safari zake nchini humo kufuatia makubaliano ya pamoja na mashirika yanayotoa huduma za usafiri wa anga kati ya nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani