Arfi atibua mzimu wa Serikali tatu
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Said Arfi (CHADEMA), jana alitimua hali ya hewa bungeni baada ya kugusia muundo wa Serikali tatu unaopendekezwa na rasimu ya katiba, akihoji wajumbe walio...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Mzimu wa serikali tatu bado walitesa Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu
SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...
11 years ago
Habarileo31 Dec
‘Ni serikali tatu’
MUUNDO wa serikali tatu umeendelea kuwa ndani ya Rasimu ya Katiba iliyokabidhiwa jana kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na ambacho Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema ndiyo itakuwa suluhu ya malalamiko juu ya kero za Muungano.
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
JK apinga serikali tatu
RAIS Jakaya Kikwete amefanya kampeni ya wazi kutetea mfumo wa serikali mbili unaopiganiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitumia muda mrefu kujaribu kuonyesha ‘ubaya’ wa mfumo wa serikali tatu....
11 years ago
Habarileo17 Jan
‘Tujaribu serikali tatu’
MCHAMBUZI wa masuala ya siasa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Benson Bana, ameshauri Watanzania kujaribu mapendekezo ya Rasimu ya Pili ya Katiba, ya mfumo wa Muungano wa serikali tatu bila hofu na kukabili changamoto zake.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wapinga serikali tatu
KAMATI ya vijana wapenda amani na viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa wito kwa vijana kupinga pendekezo la serikali tatu lililomo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Akizungumza na waandishi...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Serikali tatu pasua kichwa
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kukabidhi rasimu ya pili ya mabadiliko ya katiba kwa Rais Jakaya Kikwete, suala la muundo wa...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Nyerere alitaka Serikali tatu
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Serikali tatu zawatesa wajumbe
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiweka msimamo wa kupinga muundo wa serikali tatu, baadhi ya wajumbe wameelezwa kusikitishwa na mjadala kujikita kwenye muundo wa serikali. Wakizungumza na Tanzania Daima jana,...