Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenal kumkosa Welbeck hadi Februari mwakani

WelbeckLONDON, ENGLAND

KLABU ya Arsenal inatarajia kumkosa mshambuliaji wake, Danny Welbeck, hadi Februari mwakani kutokana na kuwa majeruhi.

Kocha wa klabu hiyo, Arsene Wenger, amethibitisha kuwa staa huyo atakuwa nje ya uwanja kwa muda huo kutokana na majeruhi yanayomsumbua.

Kuumia kwa Welbeck kunaongeza idadi ya majeruhi katika klabu hiyo ambapo ataungana na Alexis Sanchez na Jack Wilshere.

Kutokana na hali hiyo, Wenger atakuwa katika wakati mgumu katika kipindi hiki cha sikukuu ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Muswada wa habari Februari mwakani

SERIKALI imeendelea kupiga danadana kuleta bungeni muswada wa sheria ya habari na kusema itauleta Februari mwakani badala ya mkutano huu unaoendelea. Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kilwa Kusini,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shearer asema Welbeck atang'ara Arsenal

Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja,asema mshambuliaji wa zamani Allan Shearer.

 

9 years ago

BBCSwahili

Welbeck awatakia heri mashabiki wa Arsenal Kenya

Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck amewatuma salamu za heri ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Arsenal walio Kenya kwa niaba ya klabu hiyo.

 

10 years ago

GPL

ARSENAL YAUA, WELBECK AGONGA HAT-TRICK

Mshambuliaji Danny Welbeck akishangilia baada ya kupiga 'hat-trick'. Alexis Sanchez akiifungia Arsenal bao la tatu dhidi ya Galatasaray.…

 

10 years ago

Michuzi

wadau wambura na Jacquiline walamba nondozzzz, kumeremeta Februari mwakani

 Wadau Wambura Wambura na Jacquiline Mchwampaka, ambao ni wachumba,  wakipozi baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Wadau hawa wanatarajiwa kumeremeta Februari 15, 2015 kabla ya kuanza tena safari ya pamoja ya kusaka nondozzz ya PhD.  Mdau  Jacquiline Mchampaka  baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watendaji wa Tanesco wazidi kubanwa watakiwa kukamilisha miradi kabla ya Februari mwakani

PIX 1

Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani (wa kwanza kulia) akitoa maagizo ya kukamilika kwa mradi huo ifikapo february mwakani kwa Mkurugenzi Mwandamizi wa Miradi TANESCO Bw.Gregory Chegere (wa kwanza kushoto) alipofanya ziara yake leo katika mradi wa  Tanzania Energy Development Access Program (TEDAP) eneo la Mbagala Rangi Tatu,jijini Dar es Salaam,Mradi huo utasaidia kusambaza umeme wenye nguvu ya kutosha na unaotarajia kunufaisha zaidi ya wananchi elfu kumi wa eneo...

 

11 years ago

GPL

MAALIM YAHYA: WIMBI LA WASANII KUFA LITAENDELEA HADI MWAKANI

Stori: Erick Evarist
HASSAN Yahya Hussein ‘Maalim Hassan’ ni mtoto wa pili kati ya wanafamilia, wa kwanza alikuwa wa kike. Mila za kiafrika ndizo zilisababisha arithishwe kazi ya utabiri mara baada ya baba yake mnajimu Shehe Yahya Hussein kufariki dunia. Maalim Hassan Hussein akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers. Maalim alianza kujishughulisha na shughuli za unajimu (astrology) baada… ...

 

9 years ago

Bongo5

Davido abadili mawazo ya kuachia album yake ya mpya ‘Baddest’ hadi mwakani

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido amebadili mawazo ya kuachia album yake mpya dakika za mwisho. Davido na Wizkid ni kama wanategeana kuachia album zao! Kwasababu kila mmoja amekua akisogeza tarehe mbele kila inapokaribia tarehe ambayo alitangaza. Davido aliahidi kuwa album yake mpya ‘Baddest’ ingetoka mwezi wa 10 baada ya kuahirisha mara kadhaa, na Wizkid […]

 

10 years ago

Bongo5

Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake

Hit maker wa Msambinungwa, Tunda Man amesema alikuwa mbioni kufunga ndoa mwezi wa kumi mwaka huu lakini ameahirisha kutokana na matatizo ya kifamilia. Tunda Man ameiambia Bongo5 kuwa alikuwa afunge ndoa mwezi October lakini kutokana na kuuguliwa na mama yake, ameamua asitishe. “Nina mpango wa kuoa, nilikuwa nataka nifunge ndoa mwezi wa kumi lakini kwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani