Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watendaji wa Tanesco wazidi kubanwa watakiwa kukamilisha miradi kabla ya Februari mwakani

PIX 1

Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani (wa kwanza kulia) akitoa maagizo ya kukamilika kwa mradi huo ifikapo february mwakani kwa Mkurugenzi Mwandamizi wa Miradi TANESCO Bw.Gregory Chegere (wa kwanza kushoto) alipofanya ziara yake leo katika mradi wa  Tanzania Energy Development Access Program (TEDAP) eneo la Mbagala Rangi Tatu,jijini Dar es Salaam,Mradi huo utasaidia kusambaza umeme wenye nguvu ya kutosha na unaotarajia kunufaisha zaidi ya wananchi elfu kumi wa eneo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watoro Bunge Maalum wazidi kubanwa

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kubanwa dhidi ya utoro baada ya kuondoa baadhi ya maneno kwenye rasimu ya kanuni, ambayo yangewezesha watoro kuendelea kupata posho ya kikao hata kama hawakuhudhuria.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Muswada wa habari Februari mwakani

SERIKALI imeendelea kupiga danadana kuleta bungeni muswada wa sheria ya habari na kusema itauleta Februari mwakani badala ya mkutano huu unaoendelea. Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kilwa Kusini,...

 

9 years ago

Mtanzania

Arsenal kumkosa Welbeck hadi Februari mwakani

WelbeckLONDON, ENGLAND

KLABU ya Arsenal inatarajia kumkosa mshambuliaji wake, Danny Welbeck, hadi Februari mwakani kutokana na kuwa majeruhi.

Kocha wa klabu hiyo, Arsene Wenger, amethibitisha kuwa staa huyo atakuwa nje ya uwanja kwa muda huo kutokana na majeruhi yanayomsumbua.

Kuumia kwa Welbeck kunaongeza idadi ya majeruhi katika klabu hiyo ambapo ataungana na Alexis Sanchez na Jack Wilshere.

Kutokana na hali hiyo, Wenger atakuwa katika wakati mgumu katika kipindi hiki cha sikukuu ya...

 

10 years ago

Michuzi

wadau wambura na Jacquiline walamba nondozzzz, kumeremeta Februari mwakani

 Wadau Wambura Wambura na Jacquiline Mchwampaka, ambao ni wachumba,  wakipozi baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Wadau hawa wanatarajiwa kumeremeta Februari 15, 2015 kabla ya kuanza tena safari ya pamoja ya kusaka nondozzz ya PhD.  Mdau  Jacquiline Mchampaka  baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli kukamilisha miradi ya reli, barabara

Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema Serikali imetenga Sh866bilioni, kwa ajili ya kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jafo atoa milioni 71 kukamilisha miradi ya maendeleo

MBUNGE wa Kisarawe, mkoani Pwani, Selemani Jafo (CCM) ametoa shilingi milioni 71 kwa ajili ya kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo jimboni humo ikiwemo ujenzi wa maabara unaoendelea katika shule...

 

5 years ago

Michuzi

SHINYANGAYATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI MIKUBWA KWA WAKATI



Katibu Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Joseph Nyamhanga kushoto, akimsikiliza Muhandisi wa Halmashauri ya Shinyanga Bw. William Lusiu kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo jana alipofanya ziara ya Siku moja Mkoani Shinyanga kujionea miradi ya maendeleo inayoendelea Mkoani Shinyanga, katikati ni Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovera.
Katibu Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Joseph Nyamhanga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ujenzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Serikali yadhamiria kukamilisha Miradi ya Kitaifa ya Kimkakati


Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu akiwasilisha Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2015/16 Katika Kamati ya Mpango ya Bunge Zima kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.Sehemu ya Wabunge waliohudhuria uwasilishaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2015/16 Katika Kamati ya Mpango ya Bunge Zima wakimsikiliza Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagukwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani