Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoro Bunge Maalum wazidi kubanwa

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kubanwa dhidi ya utoro baada ya kuondoa baadhi ya maneno kwenye rasimu ya kanuni, ambayo yangewezesha watoro kuendelea kupata posho ya kikao hata kama hawakuhudhuria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Watendaji wa Tanesco wazidi kubanwa watakiwa kukamilisha miradi kabla ya Februari mwakani

PIX 1

Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani (wa kwanza kulia) akitoa maagizo ya kukamilika kwa mradi huo ifikapo february mwakani kwa Mkurugenzi Mwandamizi wa Miradi TANESCO Bw.Gregory Chegere (wa kwanza kushoto) alipofanya ziara yake leo katika mradi wa  Tanzania Energy Development Access Program (TEDAP) eneo la Mbagala Rangi Tatu,jijini Dar es Salaam,Mradi huo utasaidia kusambaza umeme wenye nguvu ya kutosha na unaotarajia kunufaisha zaidi ya wananchi elfu kumi wa eneo...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bunge ladhibiti posho kwa wajumbe watoro

JUKATA laonya katiba si mradi binafsi Mrema: Nina akili timamu sio za UKAWA
NA WAANDISHI WETU BUNGE Maalum la Katiba limeweka udhibiti mkali kwa wajumbe wenye tabia ya kusaini posho bila kuhudhuria vikao.Wabunge wa bunge maalum la katiba wakiendelea na vikaoLimesema kuwa lilishitukia mbinu hizo mapema kabla ya kuanza kwa vikao huku baadhi ya wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa ndio wamekuwa na mchezo huo.Kutokana na hali hiyo, mfumo wa malipo kwa wajumbe kwa sasa umebadilika...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!

PIX 1

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

PIX 2

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani