Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenal yashinda huku Tottenham ikilazwa

Bao la mapema lililofungwa na mchezaji wa Arsenal Aaron Ramsey lilitosha kuisaidia Arsenal kupunguza mwanya uliopo kati yake na Chelsea.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tottenham yashinda 'London Derby'

Harry Kane aliendelea kuimarika baada ya kuifunga Arsenal mabao mawili huku Tottenham ikitoka nyuma na kuibuka kidedea .

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yashinda huku Costa akijeruhiwa

Kocha Jose Mourinho amesema kuwa ilikuwa hatari kumchezesha mshambuliaji Diego Costa baada ya kujeruhiwa wakati wa ushindi wa 2-1

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yailaza Tottenham Spurs 1-0

Mchezaji Rosicky aliingiza bao la kipekee dakika chache tu baada ya mchezo kung'oa nanga.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaibana Liverpool,Man U yashinda

Arsenal imeimarisha uongozi wao wa kushiriki katika mechi za vilabu bingwa barani Ulaya baada ya kuicharaza Liverpool mabao 4-1

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal yashinda, Chelsea yapokea kipigo

Ligi kuu ya England imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Etihad na Selhurst Park

 

9 years ago

GPL

CHELSEA YASHINDA DHIDI YA ARSENAL BAO 2- 0

Mchezaji wa Chelsea, Kurt Zouma akifunga bao la kwanza dakika ya 53 kipindi cha kwanza dhidi ya Arsenal katika Uwanja wa Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea wameshinda bao 2-0 dhidi ya Arsenal. ...Wachezaji wa Chelsea…

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal na Tottenham katika London Derby

Arsenal itamkosa mshambuliaji wake Alexis Sanchez kutokana na Jeraha la mguu,lakini Danny Welbeck amepona jeraha la paja.

 

10 years ago

GPL

ARSENAL FC WATEMBEZEWA KIPIGO NA TOTTENHAM CHA BAO 2 - 1

Wachezaji wa timu ya Tottenham wakishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 86.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) akisalimiana na Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yalazwa huku Mancity ikiponea

Louis Van Gaal alipata ushindi wake wa kwanza ugenini kama meneja wa Manchester United dhidi ya Arsenal

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani