Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsenal yashinda, Chelsea yapokea kipigo

Ligi kuu ya England imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Etihad na Selhurst Park

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

CHELSEA YASHINDA DHIDI YA ARSENAL BAO 2- 0

Mchezaji wa Chelsea, Kurt Zouma akifunga bao la kwanza dakika ya 53 kipindi cha kwanza dhidi ya Arsenal katika Uwanja wa Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea wameshinda bao 2-0 dhidi ya Arsenal. ...Wachezaji wa Chelsea…

 

10 years ago

GPL

CHELSEA YASHINDA 2-1 KWA LIVERPOOL

Mchezaji wa timu ya Liverpool akishangilia Can jumps  baada ya kufunga bao dakika ya tisa kipindi cha kwanza. Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Diego Costa  (kulia) akifunga bao la pili dakika ya 67 kipindi cha pili.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaibana Liverpool,Man U yashinda

Arsenal imeimarisha uongozi wao wa kushiriki katika mechi za vilabu bingwa barani Ulaya baada ya kuicharaza Liverpool mabao 4-1

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yashinda huku Tottenham ikilazwa

Bao la mapema lililofungwa na mchezaji wa Arsenal Aaron Ramsey lilitosha kuisaidia Arsenal kupunguza mwanya uliopo kati yake na Chelsea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yashinda huku Costa akijeruhiwa

Kocha Jose Mourinho amesema kuwa ilikuwa hatari kumchezesha mshambuliaji Diego Costa baada ya kujeruhiwa wakati wa ushindi wa 2-1

 

11 years ago

GPL

ARSENAL YAKUTANA NA KIPIGO KILALI

Vinara wa Ligi Kuu ya England, Arsenal wamekutana na kipigo kikali kutoka kwa Manchester City cha mabao 6-3 katika mechi iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester. Kutokana na kipigo hicho Man City imefikisha pointi 32 wakati Arsenal imebaki kileleni ikiwa na pointi 35. Mabao ya Man City yamefungwa na Sergio Agüero katika dakika ya 14, Álvaro Negredo (39), Fernandinho (50 na 88) na David Silva (66).Theo...

 

10 years ago

GPL

ARSENAL FC WATEMBEZEWA KIPIGO NA TOTTENHAM CHA BAO 2 - 1

Wachezaji wa timu ya Tottenham wakishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 86.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) akisalimiana na Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino.…

 

10 years ago

Vijimambo

CHELSEA FC YAKUBALI KIPIGO CHAKE CHA KWANZA YACHAPWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED

Mshambuliaji wa timu ya Newcastle, Pappis Cisse akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 57 kipindi cha pili dhidi ya Chelsea katika Uwanja wa St James' Park.Pappis Cisse (kushoto) akifungia bao la pili timu yake ya Newcastle dakika ya 79.Wachezaji wa timu ya Newcastle wakishangilia kwa pamoja.Kipa wa Newcastle, Jak Alnwick akiokoa moja ya mashambulizi ya Chelsea.Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Drogba (katikati) akishangilia bao lake dakika ya 83. GPL

 

9 years ago

BBCSwahili

Chelsea vs Arsenal

Jose Mourinho amemuonya mwenzake wa Arsenal, Arsene Wenger kuwa timu yake imerejesha makali yake na kuwa mechi ya leo Stamford Bridge itakuwa dhihirisho

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani