Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARSENAL YAKUTANA NA KIPIGO KILALI

Vinara wa Ligi Kuu ya England, Arsenal wamekutana na kipigo kikali kutoka kwa Manchester City cha mabao 6-3 katika mechi iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester. Kutokana na kipigo hicho Man City imefikisha pointi 32 wakati Arsenal imebaki kileleni ikiwa na pointi 35. Mabao ya Man City yamefungwa na Sergio Agüero katika dakika ya 14, Álvaro Negredo (39), Fernandinho (50 na 88) na David Silva (66).Theo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal yashinda, Chelsea yapokea kipigo

Ligi kuu ya England imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Etihad na Selhurst Park

 

10 years ago

GPL

ARSENAL FC WATEMBEZEWA KIPIGO NA TOTTENHAM CHA BAO 2 - 1

Wachezaji wa timu ya Tottenham wakishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 86.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) akisalimiana na Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino.…

 

9 years ago

MillardAyo

Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz …

Baada ya michezo tisa ya Ligi Kuu Uingereza kupigwa Jumamosi ya December 26 siku ya Boxing Day, ulibakia mchezo mmoja ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26. Mchezo ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26 ni mechi kati ya Southampton dhidi ya Arsenal katika dimba la St Mary’s lenye uwezo wa kubeba zaidi ya mashabiki […]

The post Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

BBC

Arsenal 3-2 Everton: Aubameyang nets twice as Arsenal beat Everton in thriller

Mikel Arteta's encouraging rebuilding job at Arsenal continues with a win over a stubborn Everton, which could have a big say in the race for European football.

 

11 years ago

Habarileo

CC Chadema yakutana leo

KAMATI Kuu ya Chama Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana leo jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

BBCSwahili

Fifa yakutana na wadhamini wake

Shirikisho la kandanda duniani Fifa, limekutana na baadhi ya wadhamini wake wakubwa kujadili uchunguzi wa maswala ya rushwa

 

10 years ago

Habarileo

TCRA yakutana na watoa huduma

Mkurugenzi wa TCRA, Profesa John NkomaMAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) imekutana na watoa huduma za mawasiliano, kuendesha mnada wa manunuzi ya masafa ya mawasiliano na kujadili vigezo vya kuzingatiwa kutoa masafa hayo.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAKUTANA NA KUTETA NA WASANII BASATA

2Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.9Msanii aliyeng'ara na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mataifa 12 yakutana Dar kuzindua CIRDA

3

Meneja wa mradi wa CIRDA kutoka UNDP, Bonizella Biagini akizungumza wakati akitambulisha  maofisa waliokuwepo katika uzinduzi wa warsha ya siku tatu ya kimataifa ya ukusanyaji na matumizi ya taarifa ya hali ya hewa kwa nchi 12 duniani. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa mataifa la Mipango ya maendeleo duniani (UNDP) Phillippe Poinsot, Mwakilishi wa Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Binilith Mahenge, Bw. Richard Muyungi.

Na Mwandishi wetu

MATAIFA 11...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani