Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yakutana na watoa huduma

Mkurugenzi wa TCRA, Profesa John NkomaMAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) imekutana na watoa huduma za mawasiliano, kuendesha mnada wa manunuzi ya masafa ya mawasiliano na kujadili vigezo vya kuzingatiwa kutoa masafa hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TCRA yakutana na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania leo

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Prof. John Nkoma akitoa hotuba yake wakati wa ufungumzi wa Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania wenye lengo la kutoa mafunzo ya namna ya kutoa taarifa mbali mbali wakati wa Chaguzi mbali mbali hapa nchini,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.Inginia Andrew Kisaka akitoa Mada katika  Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano...

 

10 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA MKOANI LINDI WAASWA KUCHANGAMKIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA NHIF ILI KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU

Kaimu katibu tawala wa Mkoa wa Lindi Grayson Mwaigombe amewataka waganga wakuu wa hospitali kuanzia ya mkoa na wilaya,kuchangamkia mikopo ya riba nafuu inayotolewa na NHIF,ili waweze kuboresha huduma na pia kuwa chanzo kingine cha mapato ya hospitali,kwani wananchi kwa sasa wanahitaji huduma bora na stahiki,aliyesema hayo wakati wa elimu ya uhamasishaji watoa huduma wa Serikali, mashirika ya dini na watu binafsi waliosajiliwa na mfuko,kuchangamkia fursa ya mikopo ya vifaa tiba,ukarabati wa...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAKIDHI VIGEZO VYA UTOAJI WA HUDUMA YA MAWASILIANO-TCRA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom imekidhi vigezo vya utoaji huduma kwa wateja huku makampuni matano yakipigwa adhabu ya sh.milioni 25 kutokana kulaghai wateja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA), Dkt. Ally Simba amesema kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Watoa huduma NHIF kukopeshwa bililioni 10/-

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeBODI ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeidhinisha Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuwakopesha watoa huduma ili waweze kupata vifaa tiba na kukarabati maeneo yao ya kutolea huduma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoa huduma DART kupatikana kwa zabuni

WATOA huduma wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam watapatikana kwa utaratibu wa kushindanishwa baada ya kutangaza zabuni kwa mujibu wa sheria za nchi. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watoa huduma za afya wadhibitiwe-Balozi Mchumo


NA KHADIJA MUSSA
SERIKALI imeombwa kuharakisha utaratibu wa kudhibiti gharama za huduma za afya hususan upande wa dawa ili kuwapunguzia mzigo wananchi.
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya watoa huduma za afya kupandisha gharama kila kukicha, jambo ambalo limekuwa likilalamikiwa.
Pia, watoa huduma hao wametakiwa kuacha tabia ya kubagua wagonjwa wa kadi na kuthamini wale wanaotoa pesa taslimu.
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Balozi Ali Mchumo, alitoa ombi hilo jana alipokuwa...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YATAMBUA UMUHIMU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA.

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZOMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeipongeza Manispaa ya Ilala kwa kutoa huduma bora za afya kwa wanachama wa mfuko huo.
Akizungumza na waandishi wa habari, katika ufunguzi wa mkutano wa watoa huduma wa afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Masoko,Elimu kwa Umma na Utafiti Othuman Rehani (Pichani)amesema kwamba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatambua mchango mkubwa unaotolewa na watoa huduma za afya kwa wanachama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EWURA CCC yawapa somo watoa huduma

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC), limewataka watoa huduma za nishati na madini kutumia maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuleta chachu...

 

11 years ago

Habarileo

NHIF yaonywa mikopo ya dawa kwa watoa huduma

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe StephenSERIKALI imeuonya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuwa makini na mpango inaotaka kuuanza katika mwaka ujao wa fedha wa kutoa mikopo ya dawa kwa watoa huduma wote waliosajiliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani