Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asasi ya Marekani yasaidia madawati

ASASI ya Joy Moja kutoka nchini Marekani imetoa msaada wa madawati yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni sita kwa Shule ya Msingi ya Kisongo kwa malengo ya kuboresha elimu shuleni hapo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NMB MBEYA YASAIDIA KUPUNGUZA TATIZO LA MADAWATI MASHULENI.

 Meza kuu ikiwa na wageni mbali mbali waalikwa waliohudhuria hafla ya kukabidhi madawati kwa Shule tatu za Jiji la Mbeya kutoka benki ya NMB Mbeya. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Azimio wakiwa wamekalia madawati ambayo yametolewa kwa shule hiyo na Benki ya NMB. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za juu kusini, Lecrisia Makiriye, akitoa taarifa ya msaada wanaokabidhi katika hafla iliyofanyika shule ya Msingi Azimio. Mstahiki wa Jiji la Mbeya, Atanus Kapunga, akipokea Msaada wa madawati...

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga


 Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,  Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma Kova.wakati wa hafla ya kukabidhi...

 

9 years ago

Habarileo

Marekani yasaidia ukarabati wa barabara Kilombero Vijijini

SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika lake la Maendeleo (USAID), imeidhinisha Sh bilioni 2.4 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kwa ajili ya kukarabati barabara za vijijini zenye urefu wa kilometa 37.3 kwa kiwango cha changarawe.

 

11 years ago

Michuzi

Tamko la asasi za kiraia kuhusu Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika huko New York-Marekani Septemba 23

Asasi Nne zisizo za kiserikali zinazojishughulisha na kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini ForumCC, CAN, YouthCAN na Oxfam Tanzania zimetoa tamko la pamoja kuhusiana na Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika huko New York-Marekani tarehe 23/09/2014.
Katika tamko hilo ambalo pia limewasilishwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Dr. Eng. Binilith Mahenge, mambo matano yamependekezwa kuzingatiwa wakati wa mkutano huo ambao Rais wa...

 

11 years ago

Habarileo

Asasi 7 zakunwa Katiba 'mpya'

MUUNGANO wa Asasi za Kiraia Juu ya Jinsia na Katiba (GFC), umesema Katiba Inayopendekezwa imezingatia mapendekezo yao kwa zaidi ya asilimia 90, hasa katika usawa wa kijinsia na haki za watoto. Aidha, umewataka wananchi kuacha ushabiki wa kisiasa na kufuata mkumbo wa kuipinga badala yake waisome na kuichambua kila kipengele ili waielewe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahiza: Nitazishughulikia asasi za mifukoni

“OLE wao watakaogundulika wanatumia asasi zisizo za kiserikali kama sehemu ya kujipatia mitaji na kutumia fedha kinyume cha malengo ya maombi,” hiyo ni kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani,...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yataja asasi 24 zitakazofutwa

Dar es Salaam. Serikali imeanza kutimiza ahadi yake ya kuyafuta mashirika na asasi zisizo za kiserikali, NGO, yakiwamo ya kidini na kwa kuanzia imetangaza kusudio la kuzifuta asasi 24 katika kipindi cha siku saba kuanzia jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asasi zataka Bunge livunjwe

IMEELEZWA kuwa hakuna sababu ya kuendelea na Bunge Maalumu la Katiba, kama rasimu ya pili iliyopelekwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba inadhihakiwa na kudharauliwa....

 

11 years ago

Habarileo

Waziri kutembelea asasi za kisheria

NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki anafanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo katika Jiji la Dar es Salaam kutembelea asasi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani