Asasi za kiraia zafanya matembezi huru kusisitizia tamko lao juu ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi
Katika kuweka msisitizo juu ya tamko lao juu ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika huko New York-Marekani tarehe 23/09/2014, umoja wa Asasi Nne zisizo za kiserikali zinazojishughulisha na kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini ForumCC, CAN, YouthCAN na Oxfam Tanzania zimefanya matembezi huru kwenye eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Maandamano hayo yamewahusisha pia wanafunzi wa shule za sekondari za Jitegemee, Kinyamwezi, Ilala, Chanika na Maji ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Tamko la asasi za kiraia kuhusu Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika New York
Asasi Nne zisizo za kiserikali zinazojishughulisha na kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini ForumCC, CAN, YouthCAN na Oxfam Tanzania zimetoa tamko la pamoja kuhusiana na Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika huko New York-Marekani tarehe 23/09/2014.
Katika tamko hilo ambalo pia limewasilishwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Dr. Eng. Binilith Mahenge, mambo matano yamependekezwa kuzingatiwa wakati wa mkutano huo ambao Rais wa...
10 years ago
MichuziTamko la asasi za kiraia kuhusu Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika huko New York-Marekani Septemba 23
Katika tamko hilo ambalo pia limewasilishwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Dr. Eng. Binilith Mahenge, mambo matano yamependekezwa kuzingatiwa wakati wa mkutano huo ambao Rais wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Ew9lsJazTC4/Xm_dvnO7KqI/AAAAAAALkAY/JswAr-Zvo78Qi_qGzWBrAYoNgDAPj8w9QCLcBGAsYHQ/s72-c/52190608_303.jpg)
ASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.
Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi na uwezo wa kuripoti...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-2LCUga2MkIM/VCNnAVKUUtI/AAAAAAAAHbE/3Luw-asfVCQ/s72-c/Kikwete%2BUN.jpg)
Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa
![](http://2.bp.blogspot.com/-2LCUga2MkIM/VCNnAVKUUtI/AAAAAAAAHbE/3Luw-asfVCQ/s1600/Kikwete%2BUN.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2LCUga2MkIM/VCNnAVKUUtI/AAAAAAAAHbE/3Luw-asfVCQ/s72-c/Kikwete%2BUN.jpg)
Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa, New York
![](http://2.bp.blogspot.com/-2LCUga2MkIM/VCNnAVKUUtI/AAAAAAAAHbE/3Luw-asfVCQ/s1600/Kikwete%2BUN.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
AUDIO: Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa Tabianchi, Umoja wa Mataifa New York
Rais Jakaya Kikwete akihutubia Umoja wa Mataifa. (picha: UN Photo/Ryan Brown)
Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi, alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani.
Hii ni hotuba yake (kwa hisani ya Umoja wa Mataifa).
9 years ago
CHADEMA Blog21 Nov
TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA (AZAKI) KUHUSU HALI YA KISIASA VISIWANI ZANZIBAR 20/11/2015
10 years ago
MichuziMKUTANO WA SIKU MBILI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI, UHAKIKA WA CHAKULA NA HAKI ZA ARDHI WAANZA LEO JIJINI DAR
Robert Muthami Program Support Officer kutoka Pan African Climate Justice Alliance (PACJA) akitoa ufafanuzi juu ya baadhi ya mambo yanayohusu mabadiliko ya Tabianchi.
Meza ya Majaji wakiwa wanasikiliza kwa makini malalamiko ya walalamikaji kutoka Loliondo juu ya kuchukuliwa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Tamko Kali La Asasi Za Kiraia::Viashiria Vya Uvunjifu Wa Amani Wiki Moja Kabla Ya Uchaguzi
TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI WIKI MOJA KUELEKEA TAREHE YA UPIGAJI KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU TANZANIA TAREHE 25.10.2015 Sunday, October 18, 2015 Asasi za Tanzania tumeendelea kufuatilia mchakato wa uchaguzi […]
The post Tamko Kali La Asasi Za Kiraia::Viashiria Vya Uvunjifu Wa Amani Wiki Moja Kabla Ya Uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.