Tamko la asasi za kiraia kuhusu Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika New York
Asasi Nne zisizo za kiserikali zinazojishughulisha na kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini ForumCC, CAN, YouthCAN na Oxfam Tanzania zimetoa tamko la pamoja kuhusiana na Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika huko New York-Marekani tarehe 23/09/2014.
Katika tamko hilo ambalo pia limewasilishwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Dr. Eng. Binilith Mahenge, mambo matano yamependekezwa kuzingatiwa wakati wa mkutano huo ambao Rais wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTamko la asasi za kiraia kuhusu Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika huko New York-Marekani Septemba 23
Katika tamko hilo ambalo pia limewasilishwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Dr. Eng. Binilith Mahenge, mambo matano yamependekezwa kuzingatiwa wakati wa mkutano huo ambao Rais wa...
10 years ago
MichuziAsasi za kiraia zafanya matembezi huru kusisitizia tamko lao juu ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi
Maandamano hayo yamewahusisha pia wanafunzi wa shule za sekondari za Jitegemee, Kinyamwezi, Ilala, Chanika na Maji ya...
10 years ago
MichuziHotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa, New York
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
AUDIO: Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa Tabianchi, Umoja wa Mataifa New York
Rais Jakaya Kikwete akihutubia Umoja wa Mataifa. (picha: UN Photo/Ryan Brown)
Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi, alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani.
Hii ni hotuba yake (kwa hisani ya Umoja wa Mataifa).
5 years ago
MichuziASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.
Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi na uwezo wa kuripoti...
9 years ago
CHADEMA Blog21 Nov
TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA (AZAKI) KUHUSU HALI YA KISIASA VISIWANI ZANZIBAR 20/11/2015
10 years ago
VijimamboHotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa
9 years ago
MichuziJK KATIKA MKUTANO WA 70 WA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK, MAREKANI, LEO
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa Jijini New York, MAREKANI
Rais Kikwete akiwa na Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Mzumbiji na mawaziri wao wa nchi za nje katika mkutano huo mjini New York.
Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen
Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen
Rais Kikwete na ujumbe wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Yussuf Mzee, Katibu...