Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ashanti United yajificha Chamazi kuikabili Mgambo

>Ashanti United imewapigia kambi katika hoteli ya Serengeti iliyopo Chamazi kujiandaa na mechi yao dhidi ya Mgambo Shooting hapo kesho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ni Simba vs Oljoro, Ashanti vs Mgambo

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wanajitupa ndani ya dimba la Taifa jijini Dar es Salaam kuwaalika maafande wa JKT Oljoro ya Arusha katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yajipigia Ashanti United

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, jana walianza vizuri raundi ya pili ya ligi hiyo baada ya kuwafunga Ashanti Utd ya Ilala mabao 2-1 katika mechi kali iliyochezwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

Villa Squad kukipiga na Ashanti United leo Jumatano

 NA ANDREW CHALETIMU ya Daraja la Kwanza ya Villa Squad ya Magomeni,  Dar es Salaam, siku ya Jumatano Septemba 10 inatarajia kushuka dimbani kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Ashanti United ‘Wauza mitumba, ya Ilala mchezo utakaochezwa uwanja wa Mwananyamala shule.Kwa mujibu wa  Katibu wa Villa, Mbarouk Kasanda  mchezo huo utakuwa ni mahususi kwa ajili ya kukipa makali kikosi chao hicho kinachotarajia kujiwinda kurejea ligi kuu msimu ujao.Kasanda aliwaomba  marafiki wa Villa na wadau wa...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA ILALA ATOA MSAADA WA JEZI KWA TIMU YA ASHANTI UNITED

Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu (katikati), akiteta jambo na viongozi wa Ashanti kabla ya kutoa msaada wa jezi kwa timu hiyo.
Zungu (wa pili kulia) akimkabidhi jezi Katibu wa Ashanti United, Haji Bechina, kulia ni msemaji wa timu hiyo, Rajab Marijan na kushoto ni meneja, Frank Manati wakishuhudia.
 Zungu (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kutoa msaada… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yajificha kisiwani, uwanja bado utata mtupu

>Wakati Al Ahly wakihaha kusaka uwanja utakaotumika kwa mchezo wa Jumapili, Yanga imetua salama Cairo na kuweka kambi yake katika kisiwa cha Munib.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani