Villa Squad kukipiga na Ashanti United leo Jumatano
![](http://1.bp.blogspot.com/-RJlolxV9MLw/VA9uKio09VI/AAAAAAAGiTY/AOBefEt5_f0/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
NA ANDREW CHALETIMU ya Daraja la Kwanza ya Villa Squad ya Magomeni, Dar es Salaam, siku ya Jumatano Septemba 10 inatarajia kushuka dimbani kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Ashanti United ‘Wauza mitumba, ya Ilala mchezo utakaochezwa uwanja wa Mwananyamala shule.Kwa mujibu wa Katibu wa Villa, Mbarouk Kasanda mchezo huo utakuwa ni mahususi kwa ajili ya kukipa makali kikosi chao hicho kinachotarajia kujiwinda kurejea ligi kuu msimu ujao.Kasanda aliwaomba marafiki wa Villa na wadau wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Man United yatupwa nje UEFA, matokeo ya michezo mingine ipo hapa na ratiba ya michezo ya leo jumatano
Baadhi ya wachezaji wa Manchester United wakitoka uwanjani kwa udhuni baada ya kumalizika kwa mchezo huo hiyo jana..
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea hapo jana kwa michezo ya mwisho ya hatua ya makundi kwa makundi manne na haya ndiyo matokeo ya michezo hiyo;
GROUP A;
Paris Saint-German 2 – 0 Shakhtar Donetsk
Real Madrid 8 – 0 Malmo
GROUP B;
Wolfsburg 3 – 2 Manchester United
PSV Eindhoven 2 – 1 CSKA Moscow
GROUP C;
Benfica 1 – 2 Atletico Madrid
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Yanga yajipigia Ashanti United
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, jana walianza vizuri raundi ya pili ya ligi hiyo baada ya kuwafunga Ashanti Utd ya Ilala mabao 2-1 katika mechi kali iliyochezwa katika...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Ashanti United yajificha Chamazi kuikabili Mgambo
10 years ago
Jamtz.Com10 years ago
GPLMBUNGE WA ILALA ATOA MSAADA WA JEZI KWA TIMU YA ASHANTI UNITED
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81312000/jpg/_81312512_papisscissereuters2.jpg)
Newcastle United 1-0 Aston Villa
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/0DCA/production/_87303530_astonvilla1.jpg)
Newcastle United 1-1 Aston Villa