Yanga yajipigia Ashanti United
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, jana walianza vizuri raundi ya pili ya ligi hiyo baada ya kuwafunga Ashanti Utd ya Ilala mabao 2-1 katika mechi kali iliyochezwa katika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Yanga yajipigia Coastal
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wameanza vizuri utetezi wao baada ya kuifumua Coastal Union ya Tanga kwa mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Ashanti United yajificha Chamazi kuikabili Mgambo
>Ashanti United imewapigia kambi katika hoteli ya Serengeti iliyopo Chamazi kujiandaa na mechi yao dhidi ya Mgambo Shooting hapo kesho.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RJlolxV9MLw/VA9uKio09VI/AAAAAAAGiTY/AOBefEt5_f0/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Villa Squad kukipiga na Ashanti United leo Jumatano
NA ANDREW CHALETIMU ya Daraja la Kwanza ya Villa Squad ya Magomeni, Dar es Salaam, siku ya Jumatano Septemba 10 inatarajia kushuka dimbani kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Ashanti United ‘Wauza mitumba, ya Ilala mchezo utakaochezwa uwanja wa Mwananyamala shule.Kwa mujibu wa Katibu wa Villa, Mbarouk Kasanda mchezo huo utakuwa ni mahususi kwa ajili ya kukipa makali kikosi chao hicho kinachotarajia kujiwinda kurejea ligi kuu msimu ujao.![](http://1.bp.blogspot.com/-RJlolxV9MLw/VA9uKio09VI/AAAAAAAGiTY/AOBefEt5_f0/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
Kasanda aliwaomba marafiki wa Villa na wadau wa...
![](http://1.bp.blogspot.com/-RJlolxV9MLw/VA9uKio09VI/AAAAAAAGiTY/AOBefEt5_f0/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RcV7ZTnOkXg/VA9uKorvjaI/AAAAAAAGiTk/63fjS8jKwYI/s1600/unnamed%2B(28).jpg)
10 years ago
GPLMBUNGE WA ILALA ATOA MSAADA WA JEZI KWA TIMU YA ASHANTI UNITED
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu (katikati), akiteta jambo na viongozi wa Ashanti kabla ya kutoa msaada wa jezi kwa timu hiyo.
Zungu (wa pili kulia) akimkabidhi jezi Katibu wa Ashanti United, Haji Bechina, kulia ni msemaji wa timu hiyo, Rajab Marijan na kushoto ni meneja, Frank Manati wakishuhudia.
 Zungu (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kutoa msaada… ...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Bodi yalaani TV kuzuiwa Yanga vs Ashanti
SIKU moja baada ya uongozi wa Azam TV kuwazuia waandishi wa habari wa runinga kupiga picha katika mechi ya Yanga na Ashanti United, Bodi ya Ligi imelaani kitendo hicho. Katika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania