Yanga yajipigia Coastal
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wameanza vizuri utetezi wao baada ya kuifumua Coastal Union ya Tanga kwa mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Yanga yajipigia Ashanti United
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, jana walianza vizuri raundi ya pili ya ligi hiyo baada ya kuwafunga Ashanti Utd ya Ilala mabao 2-1 katika mechi kali iliyochezwa katika...
10 years ago
Vijimambo05 Feb
YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE
Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
10 years ago
Vijimambo08 Apr
YANGA HII NI TAMU ZAIDI YA MCHARO COASTAL WAGEUZWA CHIPS FUNGA WAPOKEA 8 SAWA NA TAREHE YA MCHEZO WAO NA YANGA.
Yanga hii ni ya kimataifa na kitaifa ndiyo habari ya mjini Coastal Union hawatasahau milele kipigo cha leo tarehe 8 mwezi wa 4 wapigwa bao sawa na tarehe ya siku ya mchezo wao na Yanga taifa. Amis Tambwe apiga nne, Mliberia nae afunga bao lake la kwanza toka ajiunge Yanga na baada ya kufunga bao hilo alitoa machozi kwa furaha pia mliberia huyo alitoa pasi tatu zilizo zaa mabao matatu katika mchezo huo. Yanga sasa inazidi kujikita kileleni kwa kuwa na point 43 wakishuka dimbani mara 20, Azam...
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Yanga yaipa kichapo Coastal Union 8-0
10 years ago
GPLYANGA SC YAIFUNGA COASTAL UNION MABAO 8-0
10 years ago
Vijimambo9 years ago
TheCitizen20 Aug
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Yanga, Coastal Union ngoma droo
Kikosi cha Yanga
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
HAKUNA mbabe, unaweza kusema hivyo baada ya klabu ya Yanga na Coastal Union kuamua yaishe kwa kupokezana Uwanja wa Gombani, Chake chake Pemba kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza Septemba 20.
Timu hizo zote zimejikuta zikiwa na vibali vya kuutumia uwanja huo kwa ajili ya maandalizi hayo, ambapo kila mmoja alishindwa kumuachia mwenzake hadi walipoamua kuafikiana.
Kutokana na kuafikiana huko, Coast...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Azam, Coastal, Yanga zasaka rekodi