Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ashauri wazazi kuweka mkakati wa kuzaa watoto

JAMII imeaswa kujenga mazoea ya kuwa na utatibu wa kufanya maandalizi ya kuzaa watoto badala ya kuendelea kuzaa kwa bahati mbaya kama ilivyozoeleka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU KWA MIFUGO


 Na Mbaraka Kambona, Dodoma

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mkakati madhubuti wa kutokomeza Magonjwa yanayoandama mifugo ili kuwa na mifugo bora itakayozalisha kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Tanzania, Profesa Hezron Nonga katika Mkutano wa 45 wa Baraza la Veterinari uliofanyika jijini Dodoma Juni 4,
2020.

Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo, Profesa Nonga alisema kuwa Tanzania kuna...

 

5 years ago

Michuzi

JET ILIVYODHAMIRIA KUWEKA MKAKATI WAKE WA KUENDELEA KUWAONOA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA NCHINI TANZANIA

 Sehemu ya waandishi wa habari za mazingira kutoka vyombo mbalimbali nchini wakiwa kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira(JET) hivi karibuni jijini Dar  es Salaam kwa lengo la kuwajengea uwezo.
Mkurugenzi Mtendaji wa JET John Chikomo(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya JET Dk.Ellen Utaru  Okoedion wakijadilana jambo wakati wa mafunzo hayo.


:Mwandishi Sidi Mgumia akitoa uzoefu wake katika masuala ya uandishi wa habari za mazingira na uhifadhi wakati wa semina...

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Meena ashauri watoto walindwe

Mtaalamu wa Mambo ya Katiba, Profesa Ruth Meena amesema Rasimu ya Pili ya Katiba ina kasoro ya kutotambua haki za msingi za mtoto ikiwamo kutoa tafsiri ya neno mtoto.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao

Mama-Salma-Kikwete

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.

Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU TCRA MHANDISI JAMES KILABA, WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI WAKUTANA JIJINI DAR KUWEKA MKAKATI WA KUFANIKISHA TUZO ZA TEHAMA

 Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini wakati wa kikao kazi. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba akizungumza leo Machi 5 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam wakati akifungua kikao kazi kati ya TCRA na wahariri pamoja na waandishi waandamizi wa vyombo vya habari nchini. Sehemu ya wahariri wakionesha moja ya kipeperushi chenye picha ya tuzo wakati wa kiikao hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

9 years ago

BBCSwahili

Raia Uchina waruhusiwa kuzaa watoto wawili

Uchina imeamua kusitisha sera yake iliyodumu miaka mingi ya kuzitaka familia kuwa na mtoto mmoja pekee, shirika la habari la Xinhua limeripoti.

 

11 years ago

Mwananchi

Tattoo husababisha maradhi ya ngozi, kuzaa watoto walemavu

>Siku hizi hapa nchini ni jambo la kawaida kuona watu hasa vijana wakiwa wamejiremba miili yao kwa michoro, maarufu kama tattoo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini tuone aibu kuzaa watoto wenye ulemavu?

Makala yangu ya mwisho nilieleza kuhusu hali ya watoto wenye ulemavu na majukumu wanayokabiliana nayo wazazi na walezi wa watoto hao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani