Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 55 ya maji Dar hayawafikii watumiaji

ASILIMIA 55.5 ya maji jijini Dar es Salaam yamekuwa yakipotea na hayawafikii watumiaji, kutokana na kuibwa na uchakavu wa miundombinu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ONGEZENI IDADI YA WATUMIAJI MAJI DAR – PROF MBARAWA

Mh. Prof. Mbarawa akiongea na menejimenti ya Dawasco na Dawassa kwenye ukumbi wa Dawasco gerezani,mwishoni mwa wiki jijini Dar.(picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii) .Mh. Prof. Makame Mbarawa akisaini kitabu cha wageni akiwa na Naibu waziri,Injinia Isack Kamwelwe (kushoto), pamoja na katibu mkuu na naibu katibu mkuu wa wizara ya maji (kulia) katika ofisi ya afisa mtendaji mkuu wa Dawasco.  Waziri wa maji mh. Prof. Makame Mbarawa akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Dawasco mapema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jumuiya ya watumiaji maji Nzihi wapatiwa pikipiki

MKURUGENZI wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Kampuni ya Simu Tigo, Jackson Kiswaga ametoa msaada wa pikipiki kwa jumuiya ya Watumiaji Maji Kata ya Nzihi kwa lengo la...

 

11 years ago

Habarileo

Asilimia 35 ya maji yaliyozalishwa yapotea

WASTANI wa asilimia 35 ya maji yaliyozalishwa na mamlaka za maji mwaka huu, yamepotea bila kuwafikia wateja huku Kampuni ya Majisafi na Taka Dar es Salaam (DAWASCO) ikiongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chunya yapata maji kwa asilimia 67

SERIKALI imesema upatikanaji wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri, alitoa kauli...

 

10 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA MAJI PONGWE -MUHEZA UMEFIKIA ASILIMIA 90


MKURUGENZI wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly kushoto akimueleza jambo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma Zainabu Vullu kulia wakati kamati hiyo ilipotembelea eneo la Tanki la Maji litakalotoa maji eneo la Pongwe kupeleka wilayani Muheza wakati wa ziara yako wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Uwasa Dkt Fungo Ally
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumiaji mihadarati 1,714 wapatiwa tiba Dar

WATUMIAJI wa dawa za kulevya zaidi ya 1,714 wapo kwenye matibabu ya dawa aina ya Methadone inayotolewa jijini Dar es Salaam. Dawa hizo hutolewa kwenye vituo maalum vilivyopo ndani ya...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI MBAGALA KUU,JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakizunguka kuangalia mradi wa maji Mbagala Kuu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakikata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani