Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKARI POLISI WA KIKE AVULIWA NGUA NA KUACHWA MTUPU, UKO MKOANI SINGIDA

Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini.Mwanasheria wa Serikali, Petrida Mutta alidai mbele ya Hakimu Joyce Minde, kwamba kwa pamoja, washitakiwa hao walimfanyia unyama askari huyo kwa kumvua nguo zote na kumwacha mtupu kisha kumshambulia na kumsababishia maumivu makali mwilini.
Waliopandishwa kizimbani mbele ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA SEMA LATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA KWA ASKARI POLISI WA MKOA WA SINGIDA

Mdau wa mapambano dhidi ya Corona kutoka Taasisi ya Empower Youth Prosperity ( EYP) ya mkoani Mbeya, Ipyana Mwakyusa akitoa elimu ya kujikinga dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona kwa Askari Polisi wa Kituo Kikuu cha Mkoa wa Singida leo hii Asubuhi.Askari Polisi wa Kituo Kikuu cha Mkoa wa Singida, wakipata elimu hiyo.Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Florence Mwenda, akisisitiza jambo kwa askari wa kituo hicho, wakati wa kutolewa kwa elimu hiyo.Mdau wa mapambano dhidi ya Corona kutoka...

 

10 years ago

GPL

ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA MKOANI DODOMA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu akiongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari  Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chang’ombe ya juu mkoani Dodoma na mtu aliyefahamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.
Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaa.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Jambazi la uawa na Jeshi la Polisi Mkoani Singida!

RPC

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari Mkoani humo. (Picha ya Maktaba yetu). Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Jeshi la Polisi Mkoani Singida, limefanikiwa kumuawa Dotto William anayekadiriwa kuwa na umri kati ya 30 na 33 mkazi wa Kibaoni kata ya Kindai tarafa ya Unyaminkumbi mjini Singida anayesadikika kuwa ni jambazi sugu,wakati wa kupukushani za kumnyang’anya askari silaha.    Mtuhumiwa huyo ujambazi na  kinara  wa matukio ya...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WA JESHI LA POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI YA MDOMONI MKOANI MBEYA

Askari wa jeshi lapolisi, Sajenti Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa katika ofisi yake kwenye ghala lakuhifadhia silaha katika kituo cha polisi cha wilaya ya mbozi mkoani mbeya.Akizungumza na Paparazi wetu kwanjia ya simu, kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika na kwamba jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.Sajenti Patrick mwenye umri wamiaka 54 ,akiwa katika ofisi yake kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WATANO MKOANI DODOMA WAFARIKI DUNIA PAPOHAPO KATIKA AJALI YA GARI

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Askari polisi watano mkoani dodoma wafariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC DEOGRATIUS wa Polisi Wilaya ya Kongwa likitokea Dodoma mjini likielekea Wilayani Kongwa liligongana uso kwa uso...

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema kama alivyotoa taarifa jana tarehe 04/02/2015 kuhusiana na kuawa kwa Askari  Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI S/O SIRIL MALYA.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dododoma lilianza msako wa kumtafuta mtuhumiwa huyo baada ya kufanya kitendo hicho cha kinyama cha kumkata kata kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi aliyeuliwa kikatili Mkoani Dodoma aagwa leo, Muuaji naye auliwa na wananchi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu akiongoza leo waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.Wasifu wa marehemu ukisomwa Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaaNa Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI

Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans wameagwa leo Mkoani Dodoma tayari kwa mazishi.
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii. Miili ya Askari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani