Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu: Magufuli kafanya tuumalize 2015 kwa raha

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKKAM), Jesse Angowi amesema Rais John Magufuli amewapa raha Watanzania walipokuwa wakiumalizia mwaka 2015 na kumtaka aongeze bidii zaidi mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio)

Ikiwa ni siku 13 zimepita toka Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la mawaziri na kuanza, kwa siku 13 toka Nape Nnauye apata dhamana ya kuwa waziri wa michezo sanaa na utamaduni amemaliza mgogoro ambao huenda ungeiua Stand United na fedha za udhamini kupotea […]

The post Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

ASKOFU DR MDEGELLA ATAKA WATANZANIA KUMWOMBEA RAIS DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI


Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela na binti yake Cathelin Kasesela wakishuhudia baada ya kumalizika kwa ibada ya pili katika usharika wa kanisa kuu

Askofu Dr Mdegela akitoa baraka

Mwalimu wa kwaya ya vijana katika kanisa kuu Bw Lupyana Samweli akipokea baraka za Christmas kutoka kwa askofu wa kanisa...

 

10 years ago

Michuzi

Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo

 Maaskofu kutoka nchi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote, lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili

Moja ya kikundi cha kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.


 Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

 Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...

 

9 years ago

Habarileo

Askofu ashukuru Magufuli kumtanguliza Mungu

WATANZANIA wameaswa kumuombea Rais John Magufuli kama ambavyo yeye mwenyewe amekuwa akihitaji kutoka kwa madhehebu mbalimbali ya dini nchini ili aweze kutekeleza majukumu yake kwa kumtanguliza Mungu.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu: Msimtwishe Magufuli mzigo wa wauza ‘unga’

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya, Mhashamu Everisto Chengula amesema watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya wanafahamika na wanaishi kwenye jamii husika, hivyo amewataka wananchi kuwafichua na si kumtwisha mzigo Rais John Magufuli kufanya jukumu hilo peke yake kwa kuwatia nguvuni watu hao.

 

9 years ago

Vijimambo

Sababu 10 kwa nini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015


Uchaguzi Mkuu
1. Tanzania bara na visiwani yako majimbo ya uchaguzi 266, CCM imesimamisha wagombea Ubunge katika majimbo yote 266 huku Chadema na washirika wake wa Ukawa wakiwa wamesimamisha wagombea katika majimbo 211 (138 toka Chadema). Kati ya majimbo hayo 266, CCM tayari imepita bila kupingwa majimbo 7. Ukichukua majimbo 259 yaliyobaki na kutoa 211 ambayo Chadema na washirika wake wamesimamisha wagombea unabaki na majimbo 48 ambayo CCM haina upinzani wa Chadema wala washirika wake wa...

 

5 years ago

CCM Blog

TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS 2015: DKT MAGUFULI AZIDI KUPASUA ANGA KWA KISHINDO MKOANI RUKWA

DKT MAGUFULI AZIDI KUPASUA ANGA KWA KISHINDO MKOANI RUKWAon August 26, 2015
 Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jioni ya AGOSTI 26,2015   Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani...

 

11 years ago

GPL

KUCHA FUPI HUKUNA KWA RAHA

NAAM kama ilivyo ada yetu, tumekutana tena kwenye kona yangu mimi shangingi mstaafu mwingine fotokopi, nasikia kuna watu wanajiita mashangingi wastaafu sifa yao kubwa kunywa pombe za watu na kuambulia kipigo mikovu kama kibaka mzoefu. Siku zote tutashindana lakini mimi nitabakia namba moja, najua ujuayo na usiyojua, kaa chini mwali nikufunde ulikimbia unyago hujui mizungu inaokotwaje. Ndiyo maana nikasema mtashindana lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani