Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu ashukuru Magufuli kumtanguliza Mungu

WATANZANIA wameaswa kumuombea Rais John Magufuli kama ambavyo yeye mwenyewe amekuwa akihitaji kutoka kwa madhehebu mbalimbali ya dini nchini ili aweze kutekeleza majukumu yake kwa kumtanguliza Mungu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Askofu muwe na hofu ya Mungu'

VIONGOZI wa Serikali nchini wameaswa kuwa na hofu ya Mungu wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku katika kuwaletea maendeleo wananchi na kwamba kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa hapa nchini viongozi wanaohitajika ni wale wenye kiu na njaa ya usawa na haki katika matumizi ya rasilimali.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu: Hofu ya Mungu itatupa Katiba

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu amesema Katiba Mpya itapatikana iwapo wajumbe wa Bunge la Katiba watakuwa na maadili ya kiroho kwa kufuata maagizo ya Mwenyezi Mungu bila kupindisha ukweli wa mchakato wa maoni ya Katiba.

 

10 years ago

GPL

ASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY ASEMA MAOMBI YAO MUNGU, AMETENDA!

Askofu Charles Gadi (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Viongozi wa kanisa hilo wakiomba kwa pamoja baada ya kumaliza kuongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua tukio. ASKOFU wa Kanisa la Good News For all Ministry,  Charles Gadi amesema maombi yao yaliyofanyika kwa takribani siku 1000 kwa ajili ya …

 

10 years ago

StarTV

Kikwete: Magufuli chaguo la Mungu.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, amesema mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli, ni chaguo la Mungu.

Akizungumza na wazee, wanawake, vijana na wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam jana, alisema jina la Dk. Magufuli lilijitokeza katika hatua zote za uteuzi ikiwamo vikao vya wazee na hata katika Mkutano Mkuu alichaguliwa na maelfu, jambo linaloonyesha anakubalika kwa wote. Alisema Mungu ametoa hukumu yake kwa mtu wake na Watanzania ndiyo wataamua katika...

 

9 years ago

Michuzi

Magufuli zawadi ya Mungu kwa Watanzania



Na mdau Ruger KahwaAwali ya yote napenda kumpongeza Mh. Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangu alipokuwa waziri wa ujenzi alikuwa anonyesha dhahiri kuwa ana nia ya dhati ya kuwatumikia watanzania, na sio maslahi yake mwenyewe na familia yake. Chama chetu cha CCM kilitambua hilo na kumpendekeza kuwa mgombea urais wa Tanzania. Naamini ndani ya chama kuna watu walikuwa na kiu na shauku ya kuwa marais kwa ajili yao na marafiki zao, lakini Mungu wetu...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI: RAIS MTARAJIWA MWENYE HOFU YA MUNGU

John Pombe Magufuli Na Erick Evarist HISTORIA ya maisha yake tangu alipozaliwa hadi sasa, John Pombe Magufuli ameishi katika matakwa ya dini ya Kikrosto. Mbali na kuwa mkristo, mkatoliki, anamheshimu kila mtu. Mwenye imani kama yake, imani tofauti na hata wale wasio na dini, wote anawapa haki sawa. Amemtanguliza Mungu katika kila jambo. Safari yake ya kuomba urais, aliianza kwa kumtanguliza Mungu na kweli akajibu maombi yake....

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu: Msimtwishe Magufuli mzigo wa wauza ‘unga’

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya, Mhashamu Everisto Chengula amesema watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya wanafahamika na wanaishi kwenye jamii husika, hivyo amewataka wananchi kuwafichua na si kumtwisha mzigo Rais John Magufuli kufanya jukumu hilo peke yake kwa kuwatia nguvuni watu hao.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu: Magufuli kafanya tuumalize 2015 kwa raha

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKKAM), Jesse Angowi amesema Rais John Magufuli amewapa raha Watanzania walipokuwa wakiumalizia mwaka 2015 na kumtaka aongeze bidii zaidi mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU AMBAYO TUMEPEWA WATANZANIA-MBUNGE CCM

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Amina Mollel (CCM) amelieleza Bunge kuwa Rais Dkt.John Magufuli ni zawadi tuliyopewa na Mungu, hivyo kikubwa ni kuendelea kumuombea awe na maisha marefu zaidi.

Mollel amesema hayo wakati wa vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Mjini Dodoma ambapo wabunge walipata nafasi ya kujadili maazimio mawili, Azimio la kwanza ni kumpongeza Rais Magufuli na azimio la pili ni kumpongeza Spika wa Bunge Job Ndugai.

Akieleza zaidi mbele ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani