Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli zawadi ya Mungu kwa Watanzania



Na mdau Ruger KahwaAwali ya yote napenda kumpongeza Mh. Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangu alipokuwa waziri wa ujenzi alikuwa anonyesha dhahiri kuwa ana nia ya dhati ya kuwatumikia watanzania, na sio maslahi yake mwenyewe na familia yake. Chama chetu cha CCM kilitambua hilo na kumpendekeza kuwa mgombea urais wa Tanzania. Naamini ndani ya chama kuna watu walikuwa na kiu na shauku ya kuwa marais kwa ajili yao na marafiki zao, lakini Mungu wetu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU AMBAYO TUMEPEWA WATANZANIA-MBUNGE CCM

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Amina Mollel (CCM) amelieleza Bunge kuwa Rais Dkt.John Magufuli ni zawadi tuliyopewa na Mungu, hivyo kikubwa ni kuendelea kumuombea awe na maisha marefu zaidi.

Mollel amesema hayo wakati wa vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Mjini Dodoma ambapo wabunge walipata nafasi ya kujadili maazimio mawili, Azimio la kwanza ni kumpongeza Rais Magufuli na azimio la pili ni kumpongeza Spika wa Bunge Job Ndugai.

Akieleza zaidi mbele ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU AMBAYO TUMEPEWA WATANZANIA-MBUNGE CCM


Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Amina Mollel (CCM) amelieleza Bunge kuwa Rais Dkt.John Magufuli ni zawadi tuliyopewa na Mungu, hivyo kikubwa ni kuendelea kumuombea awe na maisha marefu zaidi.
Mollel amesema hayo wakati wa vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Mjini Dodoma ambapo wabunge walipata nafasi ya kujadili maazimio mawili, Azimio la kwanza ni kumpongeza Rais Magufuli na azimio la pili ni kumpongeza Spika wa Bunge Job Ndugai.
Akieleza zaidi mbele ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa:Internet ni zawadi kutoka kwa Mungu

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema kuwa Internet ni zawadi kwa dunia nzima kutoka kwa Mungu lakini ametoa tahadhari

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA JANGA LA CORONA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli. NA IKULU

 

5 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania waanza maombi ya siku 3 kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha na janga

Raia wa Tanzania hii leo wanaanza siku tatu za maombi ya kumshukuru Mungu baada ya Rais wa nchi hiyo John Magufuli kusema maambukizi ya Covid-19 nchini humo yamepungua.

 

5 years ago

CCM Blog

WATANZANIA KUFANYA MAOMBI KITAIFA SIKU TATU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTULINDA DHIDI YA JANG LA CORONA

  Watanzania kesho (22/05/2020) wanaanza maombi ya kitaifa kwa siku tatu mfululizo kila mmoja kwa imani yake ili kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua iliyofikiwa katika mapambano dhidi ya Janga la Corona.
Maombi hayo ya siku tatu, (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili (Tarehe 22-24 Mei, 2020) yanafuatia wito wa Rais John Magufuli kupitia Hotuba yake aliyoitoa Jumapili ya tarehe 17 Mei, 2020 wakati akitoa takwimu za Corona katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Rais Magufuli aliwahimiza Wananchi katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania wafika kilele cha siku tatu za maombi ya shukrani kwa Mungu

Waumini wa madhehebu mbalimbali wamekamilisha siku tatu za maombi maalumu ya kumshukuru Mungu baada ya 'kupungua' kwa maambukizi ya covid19.

 

5 years ago

Michuzi

MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.

Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea  kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani