Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio)

Ikiwa ni siku 13 zimepita toka Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la mawaziri na kuanza, kwa siku 13 toka Nape Nnauye apata dhamana ya kuwa waziri wa michezo sanaa na utamaduni amemaliza mgogoro ambao huenda ungeiua Stand United na fedha za udhamini kupotea […]

The post Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Askofu: Magufuli kafanya tuumalize 2015 kwa raha

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKKAM), Jesse Angowi amesema Rais John Magufuli amewapa raha Watanzania walipokuwa wakiumalizia mwaka 2015 na kumtaka aongeze bidii zaidi mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

WENYEVITI WA CCM MIKOA WAPONGEZA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KWA KASI YAKE

 Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ramadhan Madabida akizungumza na waandishi wa habari (hayupo pichani) juu ya kazi inayofanywa na Rais Dk. John Magufuli leo jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari wakimfatilia Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ,Ramadhan Madabida leo jijni Dar es Salaam
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamesema kuwa kasi ya Rais Dk. John Joseph Pombe Magufuli kwa kuwachukulia hatua ...

 

9 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Maamuzi kwa Amani -Kweli Emcee & Kimbunga Ft Man DVD

TUKUTANE OCTOBA, NIUZIE SELA KWA NGUVU YA HOJA. NI BAADHI YA KAULI SAHILI KUTOKA KATIKA WIMBO UNAONUIA KUHAMASISHA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU KWA MWAKA 2015, OCTOBER 25.    KIONGOZI WA TAIFA LA TANZANIA KWA KURA ZA WATANZANIA KWA TAIFA ZIMA NA KIZAZI KIJACHO.   MAAMUZI KWA AMANI PASIPO VURUGU WALA UWEPO WA MITUTU IWE KAULI MBIU KWA KILA MMOJA WETU KWA MAENDELEO YA SIASA NA UCHUMI ENDELEVU NA MASLAHI TIMILIFU YA WANANCHI WOTE. https://mkito.com/song/memory/15912 DOWNLOAD NA KUSIKILIZA HAPA. #MAAMUZIKWAAMANI

 

9 years ago

Michuzi

MSD YAKARABATI JENGO LA DUKA LA DAWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KASI KUBWA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS DK.MAGUFULI

Na Dotto Mwaibale

BOHARI ya Dawa (MSD) imejiimarisha na kuhahikisha inatekeleza kwa wakati agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuweka maduka ya dawa katika hospitali za rufaa na kanda nchini.

Katika kutekeleza agizo hilo MSD imeanza kwa kasi kubwa ya kukarabati jengo la duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambalo linatarajiwa kufunguliwa kesho.

Mwandishi wa habari hii alishuhudia jana kasi kubwa ya mafundi ujenzi wakikarabati jengo hilo ambalo awali lilikuwa...

 

9 years ago

Vijimambo

STAND UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA SIMBA

Beki wa Simba, Murshid Juuko akiwatoka wachezaji wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo. Simba imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Simba, Simon Sserunkuma akimtoka beki wa Stand United, Abuu Ubwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA YATANGAZA UDHAMINI MNONO KWA STAND UNITED YA SHINYANGA, NI WA MIAKA MIWILI

MENEJA Mkuu wa kampuni ya uchimbaji na utafutaji madini, Acacia, Asa Mwaipopo, (katikati), akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandihi wa habari makao makuu ya kampouni hiyo barabara ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam, leo Julai 8, 2015. Kampuni ya Acacia, inayomiliki migodi ya kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara, imetangaza udhamini wa miaka miwili itakayotoa kwa klabnu ya soka ya Stand United ya mkoani Shinyanga. Migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu iko mkoani humo. Kulia ni...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon  Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli amteua Nape Wizara ya Michezo

nape1NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

RAIS wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ametangaza Baraza la Mawaziri na kumteua Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.

Awali kabla ya uteuzi wa jana wa Serikali ya Awamu ya Tano, wizara hiyo ilikuwa chini ya mbunge wa kuteuliwa Dk. Fenella Mukangara na Naibu Waziri wake Juma Nkamia ambaye ni Mbunge wa Chemba.

Akitangaza baraza hilo jana jijini Dar es Salaam, Rais...

 

5 years ago

Michuzi

MITAMBO MIPYA NIDA KUANZA KUFANYA KAZI HIVI KARIBUNI, KASI YA RAIS MAGUFULI IMESAMBARATISHA UPINZANI NCHINI-WAZIRI SIMBACHAWENE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene, akiangalia nyama katika Bucha la Kijiji cha Malolo, jimbo la Kibakwe, Wilaya ya Mpwawa, Mkoani Dodoma, leo. Waziri huyo amesema utendaji kazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli umesambaratisha upinzani nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani