AUDIO: Maamuzi kwa Amani -Kweli Emcee & Kimbunga Ft Man DVD
TUKUTANE OCTOBA, NIUZIE SELA KWA NGUVU YA HOJA. NI BAADHI YA KAULI SAHILI KUTOKA KATIKA WIMBO UNAONUIA KUHAMASISHA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU KWA MWAKA 2015, OCTOBER 25. KIONGOZI WA TAIFA LA TANZANIA KWA KURA ZA WATANZANIA KWA TAIFA ZIMA NA KIZAZI KIJACHO. MAAMUZI KWA AMANI PASIPO VURUGU WALA UWEPO WA MITUTU IWE KAULI MBIU KWA KILA MMOJA WETU KWA MAENDELEO YA SIASA NA UCHUMI ENDELEVU NA MASLAHI TIMILIFU YA WANANCHI WOTE. DOWNLOAD NA KUSIKILIZA HAPA. #MAAMUZIKWAAMANI
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio)
Ikiwa ni siku 13 zimepita toka Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la mawaziri na kuanza, kwa siku 13 toka Nape Nnauye apata dhamana ya kuwa waziri wa michezo sanaa na utamaduni amemaliza mgogoro ambao huenda ungeiua Stand United na fedha za udhamini kupotea […]
The post Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio)
Leo Dec 28 2015 klabu ya Dar es salaam Young African imetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, Hapa nakukutanisha na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Jerry Muro akielezea sababu za maamuzi hayo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika […]
The post Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo518 Mar
New Video: Kimbunga & Biggie Boss – Mke Mtarajiwa
9 years ago
Bongo510 Sep
Video: Tdx Wangex Feat. Kimbunga & Becka Title – Mabadiliko
10 years ago
Bongo511 Feb
New Music: Kimbunga Mchawi Ft. Bagasco Kunene & Fredy – Ikulu Yangu
10 years ago
Bongo518 Feb
Linah: Sijawahi kupata mapenzi ya kweli toka nimeyajua (Audio)