Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Mokiwa: Tukimchagua rais kwa tamaa za rushwa itatugharimu miaka mitano

Dar es Salaam. Dakika zinaendelea kusogea na mapigo ya moyo yakizidi kwenda kasi kwa baadhi ya wanasiasa walioanzisha mbio za uchaguzi ili kurithi mikoba ya Rais Jakaya Kikwete, ubunge na udiwani, unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Askofu Mokiwa ataka Tume iheshimiwe

Askofu wa Anglikana Jimbo la Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa amewataka wanasiasa nchini kuwaheshimu waliokuwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutokana na kazi kubwa waliyoifanya ya kuwasilisha maoni ya wananchi kwa uaminifu.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM itakumbukwa kwa lipi miaka MITANO iliyopita?

Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuutumia katika kuandaa ilani yake ya Uchaguzi Mkuu ya 2015-2020.

 

10 years ago

Habarileo

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.

 

10 years ago

GPL

SAFU MPYA YA UONGOZI WA CHADEMA KWA MIAKA MITANO IJAYO

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Profesa Abdallah Safari (kulia) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed (kushoto) mara baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu jana. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Hashim Juma Issa.…

 

10 years ago

Mwananchi

Andulile Mwakibete: Nilifungwa miaka mitano kwa kuzuia ufisadi

Enzi za utawala wa Mwalimu Nyerere wanasiasa walilenga kuwatumikia wananchi na taifa kwa jumla, lakini hali ilivyo sasa ni tofauti, wanasiasa walio wengi wapo kwa lengo la kusaka masilahi yao na familia zao.

 

5 years ago

Michuzi

MIAKA MITANO YA KAZI NA KUKAMILIKA KWA UKANDA WA UCHUMI WA MTWARA CORRIDOR

 UPANUZI  WA  UJENZI WA  GATI  UNAOENDLEA  KATIKA BANDARI YA MTWARA MITAMBO YA KUCHAKATA GESI YA MADIMBA   MTWARA   UNAOPELEKA UMEME KATIKA MJI WA MTWARA MIKINDANI.  HOSPITALI YA  RUFAA YA KUSINI YA MITEGO  ILIYOPO PEMBEZONI MWA  BAHARI YA HINDI KATIKA LANGO LA  BAHARI LA MTWARA MIKINDANI .
BARABARA ZA LAMI   ZINAZOUNGANISHA  MKOA WA MTWARA  NA MIKOA MINGINE KUKAMILISHA   UKANDA MAALUM WA UCHUMI WA MTWARA...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Afya Ndago hakina huduma za upasuaji kwa miaka mitano

SAM_2087Jengo la kituo cha afya cha tarafa ya Ndago, wilayani Iramba, Mkoani Singida ambacho licha ya kutokuwa na huduma za upasuaji, lakini vile vile kituo hicho hakina usafiri wa gari la wagonjwa kwa miaka mine sasa huku gari lililokuwa limepangiwa katika kituo hicho kutumiwa na watendaji wa wilaya hiyo.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

Na Jumbe Ismailly, Iramba

KITUO cha afya cha tarafa ya Ndago,wilayani Iramba,Mkoani Singida hakina huduma za upasuaji kwa miaka mitano sasa licha ya jengo la kutolea...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MAFANIKIO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE KWA MIAKA MITANO TANGU 2010-2015

Hii ni taarifa ya maendeleo yaliyofanywa na serikali kwa kushirikiana na wananchi na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete tangu mwaka 2010 hadi mwaka huu 2015, kama ilivyosomwa na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mh. Daniel Okoka kabla ya baraza hilo kuvunjwa hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani