Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Assenga msemaji mpya Coastal Union

MWANDISHI wa habari wa Kampuni ya New Habari Cooperation Mkoa wa Tanga, Oscar Assenga, ameteuliwa kuwa msemaji mpya wa klabu ya Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ yenye makazi yake barabara...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Msemaji wa Timu ya Coastal Union abwaga manyanga

MIMI Hafidh Athumani Kido, nikiwa na akili timamu natangaza kutojihusisha na shughuli zote za Coastal Union, hasa usemaji wa klabu.
Miongoni mwa sababu nyingi zilizonifanya kutangaza uamuzi huo ni sintofahamu iliyozuka ndani ya klabu yetu, kwa taaluma yangu ya uandishi wa habari lazima niwe na msimamo juu ya mambo yanayoendelea kwenye jamii.
Ili niendelee kufanya kazi na klabu hii kwa wakati huu wa misuguano, lazima niwe na upande; kwa maana upande unaounga mkono uongozi ama upande...

 

9 years ago

Habarileo

Coastal Union yazama 1-0

TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.

 

10 years ago

Raia Mwema

Nilichoshuhudia uchaguzi Coastal Union

MWALIMU wangu Ernest Sungura, aliwahi kunifundisha kuwa mwandishi wa makala hatumii nafsi ya kwan

Hafidh Kido

 

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union yajivunia Chipo

UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...

 

10 years ago

TheCitizen

Cannavaro aizamisha Coastal Union

Bao la nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ limetosha kuiweka Yanga kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya kwanza mwaka huu wakichapa Coastal Union 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Coastal Union yamfungia Banda

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imemfungia beki Abdi Bamba kucheza soka ndani na nje ya nchi kwa mwaka mmoja baada ya kutangazwa kusaini mkataba wa kuichezea Simba.

 

11 years ago

Mwananchi

Coastal Union ipo imara

Klabu ya Coastal Union imesema haitatetereka kama inavyodaiwa na baadhi ya wasiopenda maendeleo yake kwa kuwa ni kongwe na yenye mipango endelevu.

 

9 years ago

Habarileo

Kaseja atua Coastal Union

GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA COASTAL UNION WATAKIWA KUSHIKAMANA

VIONGOZI wa Klabu ya Coastal Union wamewatakiwa kushikamana vilivyo ili kuweza kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika michezo yao iliyosalia katika Michuano ya Ligi kuu soka Tanzania Bara.  Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Magalula Saidi wakati alipokutana na viongozi wa timu hiyo ofisini kwa lengo la kufahamiana ambapo Makamu Mwenyekiti wa Coastal Union, Steven Mguto aliwaongozwa viongozi wengine kwenye kikao hicho. Alisema kuwa muda uliobakia kwenye mechi za Ligi kuu sio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani