Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA COASTAL UNION WATAKIWA KUSHIKAMANA

VIONGOZI wa Klabu ya Coastal Union wamewatakiwa kushikamana vilivyo ili kuweza kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika michezo yao iliyosalia katika Michuano ya Ligi kuu soka Tanzania Bara.  Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Magalula Saidi wakati alipokutana na viongozi wa timu hiyo ofisini kwa lengo la kufahamiana ambapo Makamu Mwenyekiti wa Coastal Union, Steven Mguto aliwaongozwa viongozi wengine kwenye kikao hicho. Alisema kuwa muda uliobakia kwenye mechi za Ligi kuu sio...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Watakiwa kushikamana, kutimiza ahadi zao

MWANASIASA mkongwe wilayani Mpwapwa, Issack Chibwae amewataka viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu kushikamana na kuhakikisha ahadi walizotoa kwa wanachi zinatekelezwa kwa ukamilifu wake.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MKOA WA LINDI WATAKIWA KUSHIKAMANA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA MAENDELEO - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa  pamoja, kufanya kazi kwa bidii  na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.
Rai hiyo imetolewa jana Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mitwero Stendi Kata ya Rasibura wilayani humo.
Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alisema mkoa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa mkoa wa Lindi watakiwa kushikamana na kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo — Mama Salma Kikwete

IMG_7814

Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya Rasibura katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Tawi la Stendi huko Lindi Mjini tarehe 27.12.2014.(PICHA NA JOHN  LUKUWI).

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi

Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa  pamoja, kufanya kazi kwa bidii  na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.

Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha...

 

9 years ago

Habarileo

Coastal Union yazama 1-0

TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Kaseja atua Coastal Union

GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.

 

10 years ago

TheCitizen

Cannavaro aizamisha Coastal Union

Bao la nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ limetosha kuiweka Yanga kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya kwanza mwaka huu wakichapa Coastal Union 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Raia Mwema

Nilichoshuhudia uchaguzi Coastal Union

MWALIMU wangu Ernest Sungura, aliwahi kunifundisha kuwa mwandishi wa makala hatumii nafsi ya kwan

Hafidh Kido

 

11 years ago

Tanzania Daima

Coastal Union yajivunia Chipo

UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Coastal Union ipo imara

Klabu ya Coastal Union imesema haitatetereka kama inavyodaiwa na baadhi ya wasiopenda maendeleo yake kwa kuwa ni kongwe na yenye mipango endelevu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani