Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asya Idarous, Gusagusa Min Band ndani ya Uingereza kufanya maonyesho Mei 2 na 3

11169017_958488377518759_1048095244_n

Bana ya shoo hiyo ya Gusagusa Min band na Asia Idarous Khamsin itakayofanyika nchini Uingereza

London, Uingereza

Mbunifu wa mavazi nchini ‘Mama wa Mitindo’, Asia Idarous Khamsin yupo nchini Uingereza akiwa ameambatana na magwiji wa muziki wa taarab kutoka Tanzania, Gusagusa Min Band ambao watafanya maonyesho makubwa ndani ya miji ya nchi hiyo ikiwemo London na Northampton.

Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo nchini humo, Kampuni ya Didas Entertainment ya Uingereza walieleza kuwa, shoo ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS, GUSAGUSA MIN BAND KUFANYA MAONYESHO UINGEREZA

Bana ya shoo hiyo ya Gusagusa Min band na Asia Idarous Khamsin itakayofanyika nchini Uingereza London, Uingereza Mbunifu wa mavazi nchini ‘Mama wa Mitindo’, Asia Idarous Khamsin yupo nchini Uingereza akiwa ameambatana na magwiji wa muziki wa taarab kutoka Tanzania, Gusagusa Min Band ambao watafanya maonyesho makubwa ndani ya miji ya nchi hiyo ikiwemo London na Northampton. Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo nchini...

 

10 years ago

Vijimambo

GUSA GUSA MIN BAND NDANI YA USIKU WA OLD IS GOLD HUGO HOUSE KINONDONI JUMAPILI HII MEI 17

11231914_1144808635544922_2269725808570836614_o..Wadau wa mwambao kukutana kila jumapili kwenye kiotaa hicho kipyaNa Mwandishi Wetu
Ule usiku wa Old is Gold Taarab na Bendi yenye ubora katika muziki wa mwambao ya GUSA GUSA Min Band, Jumapili hii ya Mei 17 na Jumapili nyingine kila wiki watatoa burudani ya nguvu na ya aina yake kwenye ‘kiota’ kipya ndani ya Hugo House, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Shoo hiyo inatarajia kuanza kuanzia majira ya saa mbili usiku na kuendelea, ni ya aina yake kwa wadau na wapenzi wa taarab nchini huku...

 

9 years ago

Vijimambo

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake

Mama Asya Idarous Khamsini kuonyesha vazi la khanga

 

9 years ago

Dewji Blog

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake leo

*

Mwanamitindo na mbunifu Mkongwe kutoka Tanzania, Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin   leo  Septemba 20, anataraji kuonyesha mavazi ya ubunifu katika Swahili Fest Community Picnic

Swahili Fest Community Picnic.English-page-0

 

 

 

9 years ago

Michuzi

MAMAA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI KUFANYA ONESHO LA KHANGA PARTY JUMAMOSI AUG 29, 2015, DURHAM, NC


Kwa mara ya kwanza katika historiainakuletea Khanga Party Khanga Fashion show kutoka kwa mama wa mitindo Asya Idarous Khmasin siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 ndani ya kiota THE VAULT AT PALACE
ANUANI1104 BROAD STDURHAM NC 27705
Khanga Party ndani ya Durham North CarolinaKiingilio ni $ 20Couple $30Ladies with Khanga outfit $10 B4 11pmMusic By Dj LukeMilango itakua wazi kuanzia 8pm-3am Khanga Fashion show itaanza kuanzia saa 9pm mpaka 10pm baada ya hapo ni Rhumba mpaka saa 3qmKaRiBuNi 

 

10 years ago

Michuzi

Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall, siku ya Jumapili 12

TX4A9780Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall,siku ya Jumapili 12, July 2015 kwaanzia mida ya saa kumi na mbili kamili hadi saa mbili usiku. Jipatie kadi yako kwa shilingo 25,000/= tu! kwani 15000/= ni special kwaajili ya Dinner yako, inayobaki ni sadaka itakayo tumika kununulia Khanga zitakazo pelekwa Hospitalini kwa wagonjwa wanawake siku ya IDD. Hivyo kwa moyo wa kujitolea nyote...

 

10 years ago

Vijimambo

GUSA GUSA MIN BAND NDANI YA OLD IS GOLD SAFARI CARNIVAL KILA JUMAPILI

Gusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival kila J2
Na Andrew ChaleBendi ya taarab ya 'Gusa Gusa Min Band,' inatarajiwa kurindima kila Jumapili katika usiku wa Old is Gold Taarab ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, kila Jumapili bendi hiyo ya Gusa Gusa itakuwa ikitoa burudani ya kipekee kwa nyimbo za taarab zikiwemo za zamani na zile za...

 

10 years ago

Michuzi

Gusa Gusa Min band ndani ya Usiku wa Old is Gold Safari Carnival kila Jumapili


Na Andrew ChaleBendi ya taarab ya 'Gusa Gusa Min Band,'  inatarajiwa kurindima kila Jumapili katika usiku wa Old is Gold Taarab ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikochezni B, jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa waandaji wa usiku huo, Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, kila Jumapili bendi hiyo ya Gusa Gusa itakuwa ikitoa burudani ya kipekee kwa  nyimbo za taarab zikiwemo za zamani na zile za kisasa."Kila jumapili  kwa kiingilio cha sh 5,000 tu. Wapenzi wa muziki wa mwambao ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani