Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataka madaktari wa figo waongezeke


NA SYLVIA SEBASTIAN
SERIKALI imeombwa kutoa kipaumbele kwa wataalamu wanaotaka kusomea fani ya ugonjwa wa figo ili idadi ya madaktari bingwa iweze kuongezeka  katika  mikoa yote ya Tanzania.
Pia imeombwa kuangalia uwezekano wa kuwa na wawekezaji watakaotengeneza vifaa tiba vinavyohusiana na ugongwa wa figo na kuanzisha huduma ya upandikizaji wa figo hapa nchini.
Daktari  Bingwa wa Figo na Magonjwa ya Watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jacqueline Shoo, alitoa wito huo juzi...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tunahitaji madaktari bingwa wa figo’

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa wa figo na mashine za kusafisha damu. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,...

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA BENJAMIN YAFANYA UPANDIKIZAJI WA KWANZA WA FIGO KWA KUTUMIA MADAKTARI WAZAWA

Mgonjwa wa kwanza ambaye amepandikizwa figo (aliyekaa) akiwa na wataalam wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (wenye nguo nyeupe) waliomfanyia upandikizaji huo pamoja na ndugu yake (wa kwanza kushoto). Jopo la madaktari wazawa likiwa kwenye upasuaji wa upandikizaji figo. Madaktari hawa wameweka rekodi ya kuwa madaktari wazawa kufanya upandikizaji huu kwa mara ya kwanza nchini. Dkt. Masumbuko Mwashambwa ambaye aliongoza jopo la madaktari wazawa waliofanya upandikizaji wa figo wa kwanza kufanywa na...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Ujue ugonjwa wa figo

Magonjwa ya figo Figo hufanya kazi muhimu mwilini ambazo ni:- • Kudhibiti na kuhifadhi virutubishi na maji na kuondoa mabaki kupitia mkojo. • Kuchuja damu ili kuondoa mabaki ambayo ni sumu mwilini. Baadhi ya mabaki hayo ni urea, uric acid, creatinine na ammonia. • Kudhibiti viwango vya electrolyte mwilini, yaani Sodium (Na+ ) na Potassium (K+). Sodium husaidia kudhibiti wingi wa maji mwilini na pia huwezesha mawasiliano kati ya mfumo wa fahamu na misuli (enhances commucacation between...

 

11 years ago

Mwananchi

Biashara ya figo yashamiri nchini

>Katika kile kinachoonekana kukithiri kwa hali ngumu ya maisha, baadhi ya Watanzania wameanza biashara ya kuuza figo zao kwa gharama kubwa kwa watu wenye mahitaji ya kiungo hicho muhimu mwilini.

 

11 years ago

Mwananchi

Figo; ugonjwa uliomuua Dk Mgimwa

>Baada ya siri ya ugonjwa uliosababisha kifo cha aliyekuwa Waziri wa fedha, Dk William Mgimwa ikidumu kwa siku kadhaa, baadaye Serikali ilisema kilichosababisha  kifo chake ni ugonjwa wa figo.

 

10 years ago

GPL

NEFRON, KISUKARI NA UGONJWA WA FIGO

Madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu ni mengi  na mojawapo ni ugonjwa wa figo unaotokana na mhusika kuwa na tatizo hilo. Leo tuangazie tatizo la figo (kidney) ambayo ina mamia kwa maelfu ya vijiumbo vidogovidogo viitwavyo nefroni (nephrons). Kazi ya hizi nefroni ni kuchuja damu na kutoa uchafu mwilini kwa njia ya mkojo kupitia mirija ya ureter inayotoka kwenye figo kwenda kwenye kibofu. Kwa watu wenye...

 

10 years ago

BBC

Africa divided over Blatter - Figo

Fifa presidential candidate Luis Figo believes incumbent Sepp Blatter does not have the backing of all of Africa in his bid for re-election.

 

10 years ago

GPL

NEFRONI, KISUKARI NA UGONJWA WA FIGO-2

Dalili hizo ni kukosa hamu ya kula, kujihisi uchovu na kwa ujumla kutojihisi vizuri hasa kuumwa kichwa, kichefuchefu, kutapika na kuvimba miguu. Kwa watu wenye kisukari, wanashauriwa kufanya uchunguzi wa figo zao mara moja kwa mwaka ambapo watachunguzwa kama wana dalili zozote zinazoashiria matatizo ya figo. Utapimwa mkojo kwa ajili ya kuchunguza kiwango cha protini iitwayo Albumin au Microalbuminuria. ...Soma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani