‘Tunahitaji madaktari bingwa wa figo’
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa wa figo na mashine za kusafisha damu. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Ataka madaktari wa figo waongezeke
NA SYLVIA SEBASTIAN
SERIKALI imeombwa kutoa kipaumbele kwa wataalamu wanaotaka kusomea fani ya ugonjwa wa figo ili idadi ya madaktari bingwa iweze kuongezeka katika mikoa yote ya Tanzania.
Pia imeombwa kuangalia uwezekano wa kuwa na wawekezaji watakaotengeneza vifaa tiba vinavyohusiana na ugongwa wa figo na kuanzisha huduma ya upandikizaji wa figo hapa nchini.
Daktari Bingwa wa Figo na Magonjwa ya Watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jacqueline Shoo, alitoa wito huo juzi...
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tdGEnwzFoXg/XnNXG7DnAKI/AAAAAAALkbY/IEprH9rYVIkeZM64eVPDgMhYXM4rbQpKwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-19%2Bat%2B2.16.22%2BPM.jpeg)
HOSPITALI YA BENJAMIN YAFANYA UPANDIKIZAJI WA KWANZA WA FIGO KWA KUTUMIA MADAKTARI WAZAWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-tdGEnwzFoXg/XnNXG7DnAKI/AAAAAAALkbY/IEprH9rYVIkeZM64eVPDgMhYXM4rbQpKwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-19%2Bat%2B2.16.22%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-0wTjU44gKik/XnNXG1g1MkI/AAAAAAALkbc/wKdVl2T2PGUZSMv_asf80DpBD5XZTLZYwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-19%2Bat%2B2.17.50%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-u_23O490354/XnNXHFbulBI/AAAAAAALkbg/-4Kkf6Y-nA45hr0O6FYHt0sWImacmtmcwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-19%2Bat%2B2.17.55%2BPM.jpeg)
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Madaktari bingwa waitesa Serikali
![Makao makuu Wizara ya Afya](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Wizara-ya-Afya.jpg)
Makao makuu Wizara ya Afya
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.
Hadi sasa madaktari bingwa waliopo nchini ni watano hali inayowalazimu kufanya kazi kuliko uwezo wao, kwa mujibu wa taaluma ya upasuaji.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Tiba ya Upasuaji wa Mifupa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema hadi sasa kuna madaktari bingwa watano tu wa...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Madaktari bingwa wa mgongo waja
MADAKTARI bingwa wa viungo na mgongo kutoka India, wanatarajia kuwasili nchini wiki hii kwa ajili ya kuwachunguza na kutibu watu wenye maradhi hayo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na hospitali...
11 years ago
Habarileo09 Jan
Selian yaanzisha mafunzo ya madaktari bingwa
HOSPITALI ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (ALMC), maarufu kama Selian, imezindua mafunzo ya miaka mitano kwa madaktari bingwa wa upasuaji.
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA SHINYANGA
10 years ago
MichuziTabora wafurahia huduma za madaktari Bingwa
WAGONJWA waliofika na kupata huduma za Madaktari Bingwa ambao wapo kwenye mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wamefurahia huduma hizo na kusema kwamba zimeokoa fedha nyingi ambazo wangetakiwa kuzitumia kusafiri kufuata huduma hizo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika Hospitali ya Mkoa wa Tabora, Kitete, walisema kwamba ujio wa Madaktari hao umewasaidia kupata huduma nzuri na zinazohitajika bila ya usumbufu wa aina yoyote na wala kutumia...
10 years ago
Habarileo13 Nov
Madaktari bingwa 200 kutoa huduma
MADAKTARI bingwa zaidi ya 200 kutoka ndani na nje ya nchi, wanatarajiwa kutoa huduma za uchunguzi na matibabu bure wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), utakaofanyika kwa siku sita kuanzia Desemba 9 mwaka huu mjini Dodoma.