Selian yaanzisha mafunzo ya madaktari bingwa
HOSPITALI ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (ALMC), maarufu kama Selian, imezindua mafunzo ya miaka mitano kwa madaktari bingwa wa upasuaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
‘Tunahitaji madaktari bingwa wa figo’
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa wa figo na mashine za kusafisha damu. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,...
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Madaktari bingwa waitesa Serikali
Makao makuu Wizara ya Afya
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.
Hadi sasa madaktari bingwa waliopo nchini ni watano hali inayowalazimu kufanya kazi kuliko uwezo wao, kwa mujibu wa taaluma ya upasuaji.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Tiba ya Upasuaji wa Mifupa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema hadi sasa kuna madaktari bingwa watano tu wa...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Madaktari bingwa wa mgongo waja
MADAKTARI bingwa wa viungo na mgongo kutoka India, wanatarajia kuwasili nchini wiki hii kwa ajili ya kuwachunguza na kutibu watu wenye maradhi hayo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na hospitali...
10 years ago
Habarileo13 Nov
Madaktari bingwa 200 kutoa huduma
MADAKTARI bingwa zaidi ya 200 kutoka ndani na nje ya nchi, wanatarajiwa kutoa huduma za uchunguzi na matibabu bure wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), utakaofanyika kwa siku sita kuanzia Desemba 9 mwaka huu mjini Dodoma.
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bwana Alli Nassoro Rufunga akizungumza na wananchi na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga waliokuja kupata huduma kabla ya kzindua rasmi mpango huo.
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliokuja kupata huduma za madaktari bingwa...
11 years ago
Mwananchi17 May
Madaktari Bingwa Radiolojia ‘mgogoro’ Moi
10 years ago
MichuziTabora wafurahia huduma za madaktari Bingwa
WAGONJWA waliofika na kupata huduma za Madaktari Bingwa ambao wapo kwenye mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wamefurahia huduma hizo na kusema kwamba zimeokoa fedha nyingi ambazo wangetakiwa kuzitumia kusafiri kufuata huduma hizo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika Hospitali ya Mkoa wa Tabora, Kitete, walisema kwamba ujio wa Madaktari hao umewasaidia kupata huduma nzuri na zinazohitajika bila ya usumbufu wa aina yoyote na wala kutumia...
10 years ago
MichuziHUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA ZAHITIMISHWA MKOANI SHINYANGA