Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madaktari Bingwa Radiolojia ‘mgogoro’ Moi

Wakati Taasisi ya Tiba na Mifupa (Moi) ikipata mbinu mpya za uchunguzi na matibabu kwa kutumia mionzi kwenye viganja, nyonga na katika vifundo vya mguu kwa kutumia MRI, X-Ray, CT-Scan na Ultra sound, bado ina upungufu wa Madaktari Bingwa wa Radiolojia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madaktari bingwa wa mgongo waja

MADAKTARI bingwa wa viungo na mgongo kutoka India, wanatarajia kuwasili nchini wiki hii kwa ajili ya kuwachunguza na kutibu watu wenye maradhi hayo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na hospitali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tunahitaji madaktari bingwa wa figo’

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa wa figo na mashine za kusafisha damu. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,...

 

11 years ago

Mtanzania

Madaktari bingwa waitesa Serikali

Makao makuu Wizara ya Afya

Makao makuu Wizara ya Afya

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.

Hadi sasa madaktari bingwa waliopo nchini ni watano hali inayowalazimu kufanya kazi kuliko uwezo wao, kwa mujibu wa taaluma ya upasuaji.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Tiba ya Upasuaji wa Mifupa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema hadi sasa kuna madaktari bingwa watano tu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA MOI DKT. OTHUMANI KILOLOMA AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA MADAKTARI WA MIFUPA JIJINI DAR

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akifungua Mkutano wa tatu  wa Madaktari Bingwa wa Mifupa uliyofanyika katika Taasisi hiyo Dar es Salaa  Daktari Bingwa wa Mifupa wa Taasisi hiyo Dk. Edmund Ndalama (kulia)  akizungumza na Makt. Bingwa tota Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na Marekani ambapo lengo ni kubadilishana ujuzi kwa Nadharia na Vitendo na unatarajia kumaliza  29-Mei 2015   Dokt....

 

10 years ago

Michuzi

Tabora wafurahia huduma za madaktari Bingwa

Na Grace Michael, Tabora
WAGONJWA waliofika na kupata huduma za Madaktari Bingwa ambao wapo kwenye mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wamefurahia huduma hizo na kusema kwamba zimeokoa fedha nyingi ambazo wangetakiwa kuzitumia kusafiri kufuata huduma hizo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika Hospitali ya Mkoa wa Tabora, Kitete, walisema kwamba ujio wa Madaktari hao umewasaidia kupata huduma nzuri na zinazohitajika bila ya usumbufu wa aina yoyote na wala kutumia...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA SHINYANGA

Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bwana Michael Mhando akitoa taarifa fupi kuhusu mpango wa huduma ya madaktari bingwa unaoendeshwa na NHIF kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bwana Alli Nassoro Rufunga akizungumza na wananchi na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga waliokuja kupata huduma kabla ya kzindua rasmi mpango huo.
 Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliokuja kupata huduma za madaktari bingwa...

 

11 years ago

Habarileo

Selian yaanzisha mafunzo ya madaktari bingwa

HOSPITALI ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (ALMC), maarufu kama Selian, imezindua mafunzo ya miaka mitano kwa madaktari bingwa wa upasuaji.

 

10 years ago

Habarileo

Madaktari bingwa 200 kutoa huduma

MADAKTARI bingwa zaidi ya 200 kutoka ndani na nje ya nchi, wanatarajiwa kutoa huduma za uchunguzi na matibabu bure wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), utakaofanyika kwa siku sita kuanzia Desemba 9 mwaka huu mjini Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani