NEFRON, KISUKARI NA UGONJWA WA FIGO
![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtExhCsqCJtQKa0SxNvwJEmmSp0IWnM3-vylc6JaOLlckx-km2pphLIWuyBDqTdsyxFVH9q8AGAUMS1sgszagQME0/fig.jpg?width=650)
Madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu ni mengi na mojawapo ni ugonjwa wa figo unaotokana na mhusika kuwa na tatizo hilo. Leo tuangazie tatizo la figo (kidney) ambayo ina mamia kwa maelfu ya vijiumbo vidogovidogo viitwavyo nefroni (nephrons). Kazi ya hizi nefroni ni kuchuja damu na kutoa uchafu mwilini kwa njia ya mkojo kupitia mirija ya ureter inayotoka kwenye figo kwenda kwenye kibofu. Kwa watu wenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*k9pHGBCHslXIjYgQbN3x4tS6doauw5Q93CGqTB0amnXxrnOtfGktcepFW*2WdfjWNH1U-JHptXUzkUHAAZytmrBGLmNFMJN/figo.jpg?width=650)
NEFRONI, KISUKARI NA UGONJWA WA FIGO-2
11 years ago
KwanzaJamii25 Apr
Ujue ugonjwa wa figo
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Ugonjwa wa kisukari waahirisha kesi
Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
KESI ya kumtesa mfanyakazi wa ndani inayomkabili Wakili wa kujitegemea, Yasinta Rwechungura (44), inaendelea leo baada ya kuahirishwa jana kutokana na Wakili wa Utetezi kusumbuliwa na kisukari. Akitoa sababu ya kuahirishwa kesi mahakamani hapo, Wakili wa utetezi, Benitho Mandele, alisema anasumbuliwa na kisukari hivyo asingeweza kusikiliza kesi hiyo. “Mheshimiwa mimi nipo tayari kumwakilisha mtuhumiwa ila ugonjwa huu unatokea wakati wowote na kwa sasa...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Ugonjwa wa Kisukari wakati wa ujauzito — 2
KAMA kawaida tuanze makala yetu na kishtua mada tukiwasilikiza washkaji wawili. Mshikaji 1: Eti tunaweza tukaufananyisha ugonjwa wa kiharusi (stroke) na radi? Mshikaji 2: Ndio; hasa kwa kuwa hali zote...
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Ugonjwa wa Kisukari wakati wa ujauzito
KAMA kawaida tuanze makala yetu na kishtua mada tukiwasikiliza washkaji wawili. Mshikaji 1: Ili uelewe maana ya stroke, mimi naona fikiria ile siku Dawasco walipokukatia maji. Ilikuwa kama janga fulani...
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Dk. Mkweli: Ugonjwa wa figo unatibika
MABADILIKO ya tabia nchi na kukithiri kwa matumizi ya vyakula vinavyozalishwa kwenye viwanda mbalimbali ndani na nje ya nchi, kumechangia kwa kiasi kikubwa kuibuka kwa magonjwa mbalimbali ya binadamu na...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Figo; ugonjwa uliomuua Dk Mgimwa
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Ugonjwa wa retina ya macho unaosababishwa na kisukari
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Ufahamu juu ya ugonjwa sugu wa Figo
Apollo Kidney article for Mwananchi Swahil 2 12 Mar 15 Final.doc by moblog