Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATCL yarejea katika anga za Arusha, Zanzibar

 Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Bw. Juma Boma (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu wakati wa uzinduzi wa safari ya ATCL ya Dar es Salaam -Arusha – Zanzibar, wakitumia ndege yao yenye uwezo wa kuwabeba abiria 50 aina ya Bombardier Dash-8. Uzinduri ulifanyika Jumatano jioni. Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Bw. Juma Boma (wa kwanza kulia) akishuka kutoka katika ndege ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Aipongeza ATCL kurejea Arusha, Zanzibar

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), litaanza safari kwenye mikoa ya Arusha na Zanzibar mara sita kwa wiki.

 

11 years ago

Michuzi

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATBA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

   Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na  Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian  wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa  ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha   Mamlaka hiyo hapa nchini  kuweza  kujenga  kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha Mamlaka hiyo hapa nchini kuweza kujenga kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege hizo...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akagua ujenzi wa Jengo jipya la Abiria wa usafiri wa Anga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar upande wa Serikali ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Misri yarejea katika 50 bora Fifa

Misri imepanda hatua tatu katika orodha ya Fifa na sasa imo nambari 49 mara ya kwanza kwa taifa hilo kuwa katika 50 bora mwaka huu

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yarejea katika ligi kuu Ulaya

Baada ya miaka 5 nje Liverpool leo wanawakaribisha timu ya Lugorets Razgrad,ya Bulgaria Anflied.

 

10 years ago

Habarileo

Sitta akiri uzembe katika deni ATCL

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema katika kuangalia deni la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), inaonesha kuwapo uzembe unaokaribiana na hujuma.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waenda Zanzibar kuadhimisha wiki ya anga

MWENYEKITI wa Kamati ya Maandalizi siku ya Usafiri wa Anga, Mtesigwa Maugo amesema wamewawezesha wanafunzi 20 kutoka shule tofauti za msingi jijini hapa kwenda Zanzibar kutembea wakati wa maadhimisho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MAJESHI YA ANGA YALIYOPO KUSINI MWA AFRIKA WAFANYIKA ZANZIBAR

Meja Generali Joseph Furaha Kapwani akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Utangulizi wa Mkutano wa Majeshi ya Anga yalioko chini ya Kusini mwa Afrika, unaotarajiwa kufunguliwa kesho katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar akizungumza na Wajumbe wa Mkutano huo.Wajumbe washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Meja Generali Joseph Furaha, akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanziba.Wajumbe kutoka Angola wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani