Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATELEKEZWA NA MUMEWE KWA KUUGUA SARATANI YA KIZAZI

Stori: Haruni Sanchawa INASIKITISHA! Mama mmoja  mkazi Karagwe mkoani Kagera, Josephine Domisian (34) ametelekezwa na mumewe aitwaye Dominic baada  ya kupatwa na ugonjwa wa  saratani ya kizazi miaka mitatu iliyopita. Josephine Domisian akiwa katika Hospitali ya Ocean Road, jijini Dar akisumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya kizazi. Akizungumza kwa uchungu akiwa katika hospitali ya magonjwa ya Saratani ya Ocean Road,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Saratani ya kizazi, matiti tishio kwa wanawake 

IMEBAINIKA kuwa saratani ya kizazi na matiti imezidi kuwa tishio kwa wanawake nchini. Hayo yalibainishwa na Dk. Aldina Amyria wa Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam alipofanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nusu ya waingereza kuugua saratani

Mmoja kati ya watu wawili nchini Uingereza wataugua ugonjwa wa saratani katika maisha yao wachanganuzi wamesema.

 

10 years ago

Dewji Blog

JK alificha siri ya kuugua saratani!

jk18

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa habari na viongozi mbalimbali waliokuja kumlaki baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu  jana.

*Mama Salma alijua miezi nane baadaye

 *Aeleza alivyokuwa akihamanika na siri  

RAIS Jakaya Kikwete, amerejea nchini akiwa mzima wa afya na kuelezea Watanzania namna alivyoficha siri ya kuugua saratani kwa zaidi ya mwaka mmoja, huku akihamanika moyoni...

 

10 years ago

Michuzi

WAMA YAANDAA MKUTANO WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NA MATITI KWA AKINA MAMA AFRIKA MASHARIKI

Mkurugenzi wa Afya katika Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Dkt. Sarah Maongezi akiongea wakaati wa ufunguzi wa mkutano wa uragibishi wa saratani ya shingo ya kizazi na matiti kwa akina mama unaofanyika Hoteli ya Courtyard hapa Da es Salaam tarehe 11.9.2014.Dkt. Williama Kafura akifungua rasmi mkutano wa uragibishi wa saratani ya mlango wa kizazi na matiti kwa niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kwa akina mama katika nchi za Afrika Mashariki. Katibu wa Taasisi ya Wanawake na...

 

9 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA NA MISS TANZANIA 2013/2014 KWA WAKINA MAMA KUJITOKEZA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI

 Miss Tanzania 2013/2014 ,Happiness Watimanywa ambaye ni Balozi wa Saratani ya mlango wa kizazi kupia hospitali ya Marie Stopes( kushoto) na  Meneja wa Masoko wa hospitali hiyo Lilian Charles wakiingia kwenye uwanja wa taifa kutoa elimu kuhusiana na ugonjwa wa kansa ya kizazi wakati wa mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Yanga na Azam, ikiwa nisehemu ya kampeni ya kuhamasisha akinamama kwenda kufanya uchunguzi wa saratani ya Kizazi kwanye vituo mbalimbali vya afya ikiwemo...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya  mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara vifaa  vya kupima saratani hiyo. Pichani Mama Salma Kikwete...

 

11 years ago

GPL

DALILI ZA SARATANI YA KIZAZI

Saratani ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona. Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au ‘Endometrial Carcinoma. Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na hata tumbo kuvimba. Saratani hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani