WITO WATOLEWA NA MISS TANZANIA 2013/2014 KWA WAKINA MAMA KUJITOKEZA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI
Miss Tanzania 2013/2014 ,Happiness Watimanywa ambaye ni Balozi wa Saratani ya mlango wa kizazi kupia hospitali ya Marie Stopes( kushoto) na Meneja wa Masoko wa hospitali hiyo Lilian Charles wakiingia kwenye uwanja wa taifa kutoa elimu kuhusiana na ugonjwa wa kansa ya kizazi wakati wa mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Yanga na Azam, ikiwa nisehemu ya kampeni ya kuhamasisha akinamama kwenda kufanya uchunguzi wa saratani ya Kizazi kwanye vituo mbalimbali vya afya ikiwemo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VqZfAe1z1jw/U_9IFqRebUI/AAAAAAAGMKs/nbUyJ7xAagE/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
JUMUIYA YA Z-NCDA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI ZANZIBAR
Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) inatarajia kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi Agosti 30-31 mwaka huu.
Uzinduzi huo utafanyika katika Kituo cha Afya Mpendae mjini Zanzibar ambapo Wanawake wenye dalili za Maradhi hayo watafanyiwa uchunguzi bure kituoni hapo.
Akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini kwao Mpendae, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ali Mansour Vuai amesema lengo la uchunguzi huo ni kuisaidia Serikali...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nGAA5MtHw_0/U0xVlPhWUgI/AAAAAAAFawc/sxEShGYGYog/s72-c/unnamed+(24).jpg)
MAMA SALMA AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUKO BAHI - MKOANI DODOMA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-nGAA5MtHw_0/U0xVlPhWUgI/AAAAAAAFawc/sxEShGYGYog/s1600/unnamed+(24).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-MshacqXTz7o/U0xVlYcnx7I/AAAAAAAFawk/pfUTcajCeIQ/s1600/unnamed+(25).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LCfZsJtkBMA/U0xVmYr4XCI/AAAAAAAFaws/1LbC9o4mOIY/s1600/unnamed+(26).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QXIIoSI6nbc/U5SbiZp5oWI/AAAAAAAFpAY/h9YIonXjV80/s72-c/tbr7.jpg)
Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora
![](http://4.bp.blogspot.com/-QXIIoSI6nbc/U5SbiZp5oWI/AAAAAAAFpAY/h9YIonXjV80/s1600/tbr7.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CiBi1_fdBOQ/U5SbxpbgT_I/AAAAAAAFpAk/1cQtJRg3LiU/s1600/tbr8.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-iYYrbJWmS3w/U5SbxuiQx2I/AAAAAAAFpAg/F-uVi2Fi9p8/s1600/tbr6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Vr2pW1Irbog/U5ScG76Ga6I/AAAAAAAFpAw/CFLGEbAxZCI/s1600/tbr1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-d1HDHIIyWTE/U5ScuHNl9aI/AAAAAAAFpBI/E1RtH2vHR1o/s1600/tbr5.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3DH7-jw7WQ8/UxteHrPrJZI/AAAAAAAFSE4/ZwrL-cm0tls/s72-c/unnamed+(15).jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-3DH7-jw7WQ8/UxteHrPrJZI/AAAAAAAFSE4/ZwrL-cm0tls/s1600/unnamed+(15).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dqMn38Ux1gQ/UxteOODFUfI/AAAAAAAFSF8/1vTWZir4bcA/s1600/unnamed+(16).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi
SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
![VOTE FOR MISS TANZANIA-MISS WORLD](http://bomalog.com/wp-content/uploads/2014/11/tz.jpg)
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov