JUMUIYA YA Z-NCDA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI ZANZIBAR
.jpg)
Na Faki Mjaka - Maelezo Zanzibar
Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) inatarajia kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi Agosti 30-31 mwaka huu.
Uzinduzi huo utafanyika katika Kituo cha Afya Mpendae mjini Zanzibar ambapo Wanawake wenye dalili za Maradhi hayo watafanyiwa uchunguzi bure kituoni hapo.
Akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini kwao Mpendae, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ali Mansour Vuai amesema lengo la uchunguzi huo ni kuisaidia Serikali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWITO WATOLEWA NA MISS TANZANIA 2013/2014 KWA WAKINA MAMA KUJITOKEZA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora





11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi
SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAMA SALMA AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUKO BAHI - MKOANI DODOMA.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo14 Mar
11 years ago
Dewji Blog20 Aug
Jumuiya ya Watanzania wanaosoma Korea ya Kusini kufanya shughuli za kijamii nyumba za kutunza wazee Zanzibar
Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA } ukiongozwa na Rais wake Nd. Steven Katemba ukijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar mara baada ya kucgauliwa rasmi mwezi Mei Mwaka huu. Nyuma ya Ndugu Steven ni Makamu wa Rais wa Jumuiya hiyo kwa upande wa Zanzibar NduguBukheit Juma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akiwa katika picha ya...
11 years ago
GPL
DALILI ZA SARATANI YA KIZAZI
11 years ago
Habarileo10 Apr
Bahi kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi
HALMASHAURI ya wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Medical Christian Medical Clinic(DCMC ) na Shirika la Maendeleo la Uswisi, wanatarajiwa kufanya kampeni kubwa ya uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi wilayani Bahi.