Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Athari kuwekeza katika mifumo ya kifedha isiyo rasmi

Katika makala ya leo kuhusiana na uwekezaji katika mifumo ya fedha isiyo rasmi nitaongelea kuwekeza katika michezo ya piramidi (PYRAMID SCHEMES). Sehemu kubwa imetokana na chanzo kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana nchini Tanzania (CMSA). Endelea…

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri mkuu Pinda ahudhuria mkutano wa benki ya dunia,awataka wajasiriamali walioko katika sekta isiyo rasmi kurasimisha biashara zao.

 Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari  nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa benki ya Dunia nchini Ndugu Philippe Dongier  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Philippe Dongier akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa kivukoni Serena Hotel jijini Dar es Salaam, akiwa pamoja na Mwandishi wa Mada Ndugu Jacques Morisset ambapo aliwaeleza...

 

9 years ago

Habarileo

Ujira sekta isiyo rasmi kuboreshwa

SERIKALI imesema inaendelea kuangalia namna ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi wapate manufaa ambayo yataweza kubadilisha maisha yao kutoka hatua moja hadi nyingine. Baadhi ya sekta zinazoangaliwa ni pamoja na wajenzi, wafanyakazi wa saluni na madereva wa muda mfupi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sekta isiyo rasmi yachangia GEPF bil. 4/-

TANGU kuanzishwa kwa mpango wa uchangiaji wa hiari kwa sekta zisizo rasmi, Mfuko  wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) umeweza kuchangiwa sh bilioni 4.43 na sekta hiyo. Mkurugenzi wa Masoko wa...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]

HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]

Zitto Kabwe[2]

Hifadhi ya Jamii ni sera ya Maendeleo. Ni sera inayolenga kuendeleza Maisha ya Watu na kuhakikisha kuwa Watu wanaofaidika na sera hiyo kutotumbukia kwenye dimbwi la Umasikini. Ni kinga dhidi ya kuporomoka kwa kipato kutokana na kifo, ulemavu au Umri. Wanazuoni wanahusisha Hifadhi ya Jamii na tafsiri ya Maendeleo ambayo inajikita kwenye uwezo (capability) ambapo maendeleo yanahakikishwa hata kama mtu hana uwezo wa kufanya kazi. Kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

DAWASCO ISIYO RASMI YABAMBWA HUKO KIMARA

Hujuma ya Miundombinu ya Majisafi, wizi wa Maji ni vitendo vinavyoendelea kufanywa na wananchi licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali kuhakikisha huduma ya Majisafi ni muhimu kwa kila kaya. 
Hayo yameelezwa na Afisa Uhusiano wa DAWASCO Bi, Everlasting Lyaro wakati wa operesheni maalumu inayoendelea ya kuwabaini na kuwakamata wananchi wanaojihusisha na vitendo vya uhujumu wa shirika hilo. Alisema katika zoezi hilo maalum jumla ya watu na vifaa mbalimbali vilivyokuwa vinatumika...

 

9 years ago

Mtanzania

NEEC yavitaka vikundi sekta isiyo rasmi kujisajili

Beng’i-IssaNa Mwandishi Wetu, Kibaha

BARAZA la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), limevitaka vikundi vya kijamii vilivyo katika mifumo isiyo rasmi kujisajili katika mamlaka za Serikali za Mitaa ili viweze kutambuliwa na kupata fursa mbalimbali.

Hayo yalisemwa na Katibu Mtendaji wa NEEC, Beng’i Issa, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari  kuhusiana na vikundi vinavyotakiwa kuanza kujisajili kwa ajili ya kutambuliwa na kunufaika na fursa zinazolenga kutolewa na Serikali na taasisi...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti mipaka 53 isiyo rasmi Kanda ya Magharibi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya Shirika la Viwango (TBS) Kanda ya Magharibi itakayohudumia mikoa ya Kigoma,Katavi na Rukwa.Hafla hiyo imefanyika Mjini Kigoma.

***********************************

Na Mwandishi Wetu- TBS

Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Wizara nyingine zitadhibiti mipaka isiyo rasmi 53 katika mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa ili kukabiliana na changamoto ya uingizaji...

 

10 years ago

Habarileo

Ghasia ataka mifuko ya hifadhi kuifikia sekta isiyo rasmi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia ameitaka mifuko yote ya hifadhi nchini kujikita zaidi katika kushawishi wanachama kutoka sekta isiyo rasmi hususan kwenye Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos), Benki za Vijijini (VICOBA) na sekta nyingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Changamoto zilizopo katika kuunda mifumo ya elimu

Katika siku za hivi karibuni tumekuwa na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu. Tumehoji ubora na uwezo wake wa kukidhi mahitaji ya kitaifa. Makala haya yanajaribu kuangalia changamoto zinazoikumba nchi zetu katika kuunda mifumo ya elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani