Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


[AUDIO]: DAKIKA 90 ZA DUNIA. Kumalizika kwa mkutano wa DICOTA 2014


Baraza la waTanzania waishio nchini Marekani (DICOTA) limemaliza mkutano wake wa mwaka Jumapili ya Oktoba 5 jijini Durham jimbo la North Carolina ambao kwa wengi waliohudhuria, wameonyeshwa kuridhishwa nao
Mwenzangu Mubelwa Bandio, anayo taarifa kamili.

Hii ni sehemu ya ripoti za Kwanza Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).Hii ilikuwa ripoti ya Oktoba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

WAJUMBE WA DICOTA 2014 CONVETION WAKUTANA KWENYE HAFLA YA COCKTAIL KWA UTAMBULISHO NA KUEANA MWONGOZO WA MKUTANO.

 Bw. Lunda Asmani akielezea utaratibu utakavyokua kwenye DICOTA 2014 Convetion itakayoaanza muda si mrefu leo Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye hafla ya Cocktail iliyofanyika Alhamisi jioni Oct 2, 2014 katika hotel ya Millennium Durham North Carolina. Bw. Lunda Asmani pia alitumia wasaa huo kuwatambulisha wageni mbalimbali akiwemo mgeni rasmi Katibu Mkuu kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue.Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini Marekani Mhe. Liberatus Mulamula akiongea na wahudhuriaji...

 

10 years ago

Vijimambo

[AUDIO] Dakika 90 za dunia..Uchaguzi Nigeria

Bahati Alex wa Capital Radio Dar Es Salaam na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production Washington DCWiki hii, historia imeandikwa kwenye siasa za Afrika. Nchi yenye watu wengi na uchumi mkubwa barani Afrika , Nigeria,  imeshuhudia mabadiliko ya uongozi ya amani kupitia sanduku la kura. Hii ni mara ya kwanza kwa jambo hilo kutokea tangu iondokane na utawala wa kijeshi mwaka 1999. Lakini pia, kuna mengi ambayo yamejitokea katika uchaguzi huo, na ambayo yanatazamwa sana kuelekea miaka minne...

 

11 years ago

Michuzi

[AUDIO]. DAKIKA 90 ZA DUNIA: Maadhimisho ya Kwibuka20, Washington DC

 Wiki kama hii, miaka 20 iliyopita, nchi ya Rwanda ilishuhudia kuanza kwa mauaji ambayo kwa siku 99 zilizofuata, yaliacha historia mbaya na ambayo itaendelea kukumbukwa na vizazi vijavyo. Ndani ya siku 100, watu wanaokadiriwa kufika milioni 1 waliuawa katika mauaji ya kimbari. Miaka 20 baadaye (mwaka huu), dunia nzima imeungana na Rwanda kukumbuka kile ambacho wengi wanaona kuwa kilitokea na kuachwa kuendelea kutokana na Jumuiya ya kimataifa kutoingilia kati na kutoa msaada muafaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA

Viongozi wa DICOTA Lunda Asmani na Dr. Kurwa Nyigu walifika jioni ya Desemba 8, 2014 ofisi ya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington DC kumkabidhi Mhe. Liberata Mulamula ripoti ya mkutano wa kongamano wa DICOTA wa 2014 uliofanyika mapema mwezi Oktoka kati ya tarehe 2 mpaka 5.

Katika makabidhiano hayo yaliyo ambayo yalikua ni maelezo ya viongozi wa DICOTA na maoni ya wahudhuriaji wa mkutano huo wa kongamono wa ndani na nje ya Marekani ikiwemo DVD 2 ya...

 

10 years ago

GPL

DICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA‏

 Viongozi wa DICOTA Lunda Asmani (kushoto)na Dr. Kurwa Nyigu wakitia saini kitabu cha wageni mara tu walipofika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC kuonana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamuala (hayupo pichani) na kumkabidhi ripoti ya mkutano wa kongamano wa DICOTA uliofanyika mapema mwezi wa Oktoba kwenye tarehe 2 mpaka 5 2014.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Dunia yaadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa vita

>Dunia imeadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa Vita vya Pili ya Dunia baada ya Jeshi la Kinazi la Ujerumani kujisalimisha kwa jeshi la muungano wa Jamhuri za Kisovieti, Mei 8, mwaka 1945.

 

11 years ago

Vijimambo

DICOTA 2014 CONVENTION DAY 3 SATURDAY OCT 4, 2014

   

Broadcast live streaming video on Ustream
   

Broadcast live streaming video on Ustream
   

Broadcast live streaming video on Ustream

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Vijimambo

2014 DICOTA CONVENTION

CSI has been invited to be on the health panel for the DICOTA 2014 Convention. Please find attached postcard that can be shared on Michuzi blog, Vijimambo, and other social sites. Childbirth Survival International (CSI) is a non-profit organization in Baltimore, Mayrland. CSI works kusaidia kina mama, watoto, na vijana in marginalized communities including Tanzania. CSI has done activities in Tanzania kusaidia kina mama, wakunga (midwives), orphans, and adolescent girls. Nashukuru sana and I...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani