Audio: Sikiliza Kemosabe (interlude) iliyopo kwenye album mpya ya Fid Q Kitaaolojia
Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa jana, Fid Q aliwapa mashabiki wake kionjo cha album yake mpya, Kitaaolojia kwa interlude yake iitwayo Kemosabe. Isikilize hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo503 Aug
Album mpya ya 2face ‘The Ascension’ yaingia kwenye orodha ya Billboard ya album zinazouza zaidi duniani
11 years ago
Bongo512 Aug
Picha/Audio: Utengenezaji wa video mpya ‘Mr. Oreo’ ya Iyanya, Marekani na sikiliza wimbo wake mpya ‘Story story’
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
10 years ago
Bongo530 Oct
Rapper M.I wa Nigeria awashirikisha wasanii 27 kwenye album mpya
9 years ago
Bongo512 Nov
Runtown wa Nigeria amshirikisha Dj Khaled kwenye Album yake mpya
![runtown n dj khaled](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/runtown-n-dj-khaled-300x194.jpg)
Mwimbaji wa ‘Gallardo’, Runtown kutoka Nigeria ameingia kwenye orodha ya wasanii wa nchi hiyo waliofanikiwa kufanya kazi na masataa wa Marekani.
Runtown ambaye hivi karibuni alikuja nchini kwenye finali za Bongo Star Search, na ambaye ameshafanya kazi na baadhi ya wasanii wa Tanzania akiwemo Chege, amemshirikisha Dj maarufu wa Marekani, DJ Khaled ambaye pia ni producer kwenye album yake mpya ‘Ghetto University’ itakayotoka Nov.23.
Runtown ameshare cover pamoja na orodha ya nyimbo za album...
9 years ago
Bongo514 Nov
Music: K.O aachia wimbo mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake
![K.O](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/K.O-300x194.jpg)
Rapper wa Afrika Kusini K.O aka Cashtime ameachia wimbno mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake iitwayo ‘Skhanda Republic’.
K.O alisema video ya wimbo huu anategemea kuiachia mwishoni mwa mwezi huu.
Miezi michache iliyopita K.O ambaye amewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘ No Body But Me’ alikuja Tanzania kufanya media tour.
Ding Dong | tayotv Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...
10 years ago
CloudsFM07 Nov
CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.
Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.
9 years ago
Bongo526 Nov
Album mpya ya Rihanna ‘ANTI’ itapatikana exclusive kwa wiki moja kwenye Tidal
![rihanna-anti-mama-gallery-2015-billboard-650](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/rihanna-anti-mama-gallery-2015-billboard-650-300x194.jpg)
Kuna tetesi kuwa album mpya na ya nane ya Rihanna, ANTI itatoka Ijumaa hii na kupatikana kwenye mtandao wa Tidal peke yake kwa kipindi cha wiki moja kabla ya kuwekwa kwingine.
Billboard wamedai kuwa hatua hiyo itaathiri mauzo ya wiki ya album hiyo. Rihanna ni miongoni mwa mastaa wenye hisa kwenye mtandao wa Tidal.
Hata hivyo kazi nyingi zilizowekwa kwenye mtandao huo zimeonesha kutokuwa na mapokezi makubwa kama zinazowekwa kwenye Spotify na YouTube.
Mfano mzuri ni wimbo wake ‘American...