Aunguzwa kifuani kwa maji ya maharage
Na Hillary Shoo, Singida
MSICHANA mmoja amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida, baada ya kumwagiwa maharage ya moto kifuani na dada yake, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Msichana huyo aliyelazwa wodi namba mbili katika hospitali hiyo, ametambulika kwa jina la Tabu Mohamed (25) ni mkazi wa eneo la Majengo Manispaa ya Singida.
Akizungumza na MTANZANIA huku akiugulia maumivu, Tabu alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi, wakati alipokwenda kwa dada yake kwa lengo la...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Mar
Aunguzwa kwa kudokoa njegere
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Jangwani, Manispaa ya Sumbawanga amechomwa moto mikono yake miwili, kutokana na tuhuma za kudokoa njegere zilizokuwa zikichemka jikoni.
11 years ago
Habarileo04 Mar
Mtoto aunguzwa kwa kudokoa njegere
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Jangwani, Manispaa ya Sumbawanga amechomwa moto mikono yake miwili, kutokana na tuhuma za kudokoa njegere zilizokuwa zikichemka jikoni.
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Mtoto aunguzwa vibaya kwa kula nyama
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ungindoni kata ya Mji Mwema Kigamboni, jijini Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), anadaiwa kuchomwa moto na mama yake mkubwa sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kutumia jalo.
Mtoto huyo alifanyiwa ukatili huo Desemba 25, mwaka jana akidaiwa kula vipande viwili vya nyama na hivyo kupewa adhabu na mama yake mkubwa, Rachel Bundala, kwa kuchomwa moto kwenye paja, goti na mikono yote miwili.
SHUHUDA...
10 years ago
Habarileo03 Jan
Dereva teksi afumaniwa, auawa kwa kuchomwa kisu kifuani
DEREVA teksi Hamis Seleman (18), mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amekufa baada ya kuchomwa kisu kifuani na Ali Kimodo, aliyemfumania akiwa na mpenzi wake.
5 years ago
MichuziTanzania Kuuza Makontena 200 ya Maharage nchini Ubelgiji Inbox x
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Aunguzwa na uji kisa wivu wa mapenzi
MSICHANA Jackline Lasway maarufu kwa jina la Pendo, mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa...
10 years ago
GPLOMBI LA KUPANDA KWA BEI ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA
10 years ago
Michuzi04 Feb
WIZARA YA MAJI KUPITIA BRN IMEFIKISHA MAJI KWA WANANCHI M.4.2
![IMG-20150203-WA0039](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150203-WA0039.jpg)
Waziri wa maji kupitia mpango wa BRN,kuanzia mwaka 2013 hadi sasa,imefanikiwa kuwafikishia maji wananchi milioni 4.3 wanaoishi maeneo ya mijini Aidha zaidi ya watu milioni 2 wanaoishi maeneo ya vijijini wamepatiwa huduma ya maji kupitia BRN.
Waziri wa maji profesa jumanne maghembe ameyasema hayo Februari 3, 2015 mjini Dodoma alipokuwa...