Aunt Ezekiel Asema Haya Kuhusu Mastaa Kujiremba Misibani
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amewaponda wasanii wanaokwenda misibani wakiwa wamejipara kupita kiasi.
Staa huyo aliwaponda mastaa wenzake wenye tabia ya kutumia sehemu za misiba kugeuza uwanja wa kuonyesha mavazi na vito vya thamani katika miili yao.
“Wenye tabia hizo acheni kujipodoa katika msiba, tunakera wenzetu ndiyo maana linaongelewa kila siku tuishi kulingana na utamaduni wetu tusiige,’’ alisema huku akifafanua zaidi.
“Wenzetu wakiwa katika majonzi nasi tufanane nao tusiende...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Aug
Picha : ‘Bethidei’ Party ya Mzazi Mwenza wa Aunt Ezekiel , Moses Iyobo ya Kusanya Mastaa Kibao
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye sherehe ya kuzaliwa ya siku ya kuzaliwa ya Moses Iyobo ambaye ni baba wa mototo wa Aunt Ezekiel .
Mastaa wengi wajikitokeza kwenye sherehe hiyo jionee.
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Mzazi Mwenzie
Staa wa Bongo Movies, aunt Ezekiel amaeamua kuatoboa kuhusu baba mtoto wake Moses Iyobo kwa kudai kuwa ndiye baba halisi wa mwanae na anampenda kwa dhati todauti na baadhi ya watu wanavyomtafsiri kuwa yeye ni mpenda hela!
Aunt aliyaongea hayo katika mahojianao maalumu na kusema kuwa kama kuna watu wanaomtafsiri kama yeye ni mpenda hela na hawezi kujkaa na Iyobo kiatendo ambacho sio cha kweli katika moyo wake kwani anachohitaji kutoka kwa Iyobo ni mapenzi tu.
“Nataka ni weke wazi kuwa...
10 years ago
GPLAUNT EZEKIEL AKANUSHA TAARIFA ZA KUJIFUNGUA, ASEMA VIDEO YA MTANDAONI NI KIPANDE CHA FILAMU YAKE
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Aunt Ezekiel afunguka kuhusu uhusiano wake na Waziri Nyalandu
10 years ago
Bongo Movies18 May
Maoni:Unamshauri Nini Aunt Ezekiel Kuhusu Ugomvi na Wema?
Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu ulikomaa zaidi pale Madame Wema alipokuwa amerudiana na Diamond Platinumz kiasi kwamba hata safari za nje za Wema na Diamond na Aunt nae alikuwa anasafiri na hatukujua alikuwa anasafiri kwa gharama ya nani.
Kwa ukaribu huu wa Wema na Diamond kulimfanya Dogo wetu Moses Iyobo kupata bahati ya mtende...
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movies hawajitambui ndio maana kazi zao nyingi hazina mvuto badala yake nguvu nyingi wameelekeza kubuni skendo wakitarajia ndio zitawatoa kisanaa.
Alisema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kutafakari jinsi ya kutengeneza skendo ili watume kwenye mitandao na kuandikwa kwenye magazeti lakini hawana ubunifu wa kutengeneza filamu zenye ushawishi kwenye jamii.
Aunt ambae kwenye filamu ya Chozi la...
10 years ago
Bongo Movies16 Apr
JB Asema Haya Kuhusu Kaburi la Kuambiana
Kufuatia wadau mbalimbali kuhoji kwa nini staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ ameliacha kaburi la aliyekuwa mwongozaji wa filamu katika kampuni yake, marehemu Adam Kuambiana mwenyewe amefunguka kwamba hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa.
Akiongea na gazeti la Amani, JB alisema anatamani kulikarabati kaburi la Kuambiana ambalo limetoboka na mpango huo upo kwenye ratiba yake ila kwa sasa hali ya kifedha ni ngumu ikiwa nzuri ataanza ujenzi wake mara moja.
“Unajua ni muda mrefu nilikuwa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!