AUNT EZEKIEL AWABWATUKIA WAKWE ZAKE

Stori: Musa mateja STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman ameonesha upande wake wa pili baada ya kuwabwatukia wakwe zake aliposikia kuwa wana mpango wa kumpa talaka ili aachane na mumewe Sunday Demonte kutokana na tabia yake kwa kuwa siyo mwanamke wa kuoa (wife material). Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman. Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati jijini Dar, Aunt alidai kuwa alikerwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Aua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Na Amiri kilagalila,Njombe
Kijana aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe,anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya wakwe zake (mme na mke) akiwatuhumu ni washirikina wanaomsababishia maradhi ya mara kwa mara.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema kijana huyo alitenda kosa hilo katika kijijji hicho June 8,2020 majira ya saa moja jioni lakini wananchi kwa...
11 years ago
GPLWEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!
11 years ago
GPL
PUB YA AUNT EZEKIEL CHALI
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...
10 years ago
GPL
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!