Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT KUFUNGA NUSU BONGO, DUBAI

Na Mayasa Mariwata STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye ambapo atauanzia mfungo Bongo na kumalizia Dubai.
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel Akizungumza na paparazi wetu, Aunt alisema ameamua kufunga Ramadhani nchini na kumalizia Dubai kama ishara ya kumkumbuka mumewe aishie Dubai. “Kama mnavyojua mume wangu yupo kule...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

USALITI WAMPAISHA AUNT DUBAI

Stori: Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekwea pipa kumfuata mumewe, Sunday Demonte nchini Dubai huku ikielezwa kuwa amefanya hivyo kwa kuhofia kusalitiwa na mumewe. Aunt Ezekiel katika pozi. Akiteta na Risasi Mchanganyiko, shosti wa karibu na Aunt alisema: “Yaani amekuwa mpweke sana, anasema hawezi kukaa mbali na mumewe kwa muda mrefu kiasi hicho, anahisi anaweza kuibiwa ndiyo maana...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AKIJIACHIA BEACH NDANI YA DUBAI

Mwigizaji wa filamu nchini, Aunt Ezekiel akijiachia katika ufukwe huko…

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AKIRI MUMEWE KUKAMATWA DUBAI

Na Hamida Hassan
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungwa kama baadhi ya watu wanavyoeneza uzushi. Aunt Ezekiel. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Aunt alisema mumewe, Sunday Demonte alikamatwa kutokana na viza yake kuisha ambapo alishikiliwa kwa muda na alipokamilisha taratibu za ‘kurinyuu’, aliachiwa. “Nashangaa sana mambo haya...

 

9 years ago

Mtanzania

Pop Up Bongo kufunga mwaka

Na Mwandishi Wetu

TAMASHA la Pop Up Bongo linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo litawakutanisha wasanii mbalimbali pamoja na wadau wa biashara.

Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Trinity, Oysterbay, Novemba 28, ambapo hufanyika kila baada ya miezi mitatu likiwa chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff.

Akizungumza kuhusiana na tamasha hilo, mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli, alisema kuwa milango itafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa mbili...

 

10 years ago

GPL

AUNT, ODAMA WATIMULIWA BONGO MOVIE

Hamida Hassan na Gladness Mallya UPEPO mbaya unaendelea kuvuma ndani ya Klabu ya Bongo Movie Unity! Safari hii umewakumba mastaa wakubwa klabuni hapo, Devotha Mbaga, Aunt Ezekiel na Jennifer Kyaka ‘Odama’ ambao wanadaiwa kutimuliwa kundini kwa sababu ya kujiweka karibu na mwenyekiti wa klabu hiyo aliyejiuzulu, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Mwanadada anaye tamba katika tasnia ya filamu bongo,...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’

Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movies hawajitambui ndio maana kazi zao nyingi hazina mvuto  badala yake nguvu nyingi wameelekeza kubuni skendo wakitarajia ndio zitawatoa kisanaa.

Alisema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kutafakari jinsi ya kutengeneza skendo ili watume kwenye mitandao na kuandikwa kwenye magazeti lakini hawana ubunifu  wa kutengeneza filamu zenye ushawishi kwenye jamii.

Aunt ambae kwenye filamu ya Chozi la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike

AUNTY35Aunt Ezekiel

Na Andrew Chale, Modewji blog

Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu  Bongo  Movie,  kujua  hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi.  staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.

Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akutana na Mtendaji Mkuu wa Dubai Chamber of Commerce and Industry

Mhe. Omar Mjenga, amekutana na Mhe. Hamad Buamim, Rais na Mtendaji Mkuu wa Dubai Chamber of Commerce and Industry na kufanya naye mazungumzo.
Katika mazungumzo, wamejadiliana uwezekano wa kuwa na ziara ya kibiashara kwenda Tanzania, kwa makampuni na viwanda vilivyopo Dubai, ili kukutana na wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda Tanzania, ili kujionea na kuibua fursa za uwekezaji. Wamekubaliana ziara hiyo ifanyike mwanzoni mwa mwaka kesho na hivyo basi kuanza maandalizi mapema.
Mwezi Novemba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani