Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pop Up Bongo kufunga mwaka

Na Mwandishi Wetu

TAMASHA la Pop Up Bongo linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo litawakutanisha wasanii mbalimbali pamoja na wadau wa biashara.

Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Trinity, Oysterbay, Novemba 28, ambapo hufanyika kila baada ya miezi mitatu likiwa chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff.

Akizungumza kuhusiana na tamasha hilo, mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli, alisema kuwa milango itafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa mbili...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

POP UP BONGO ILIVYOFANA, TRINITI BAR OYSTERBAY.



Co- founder wa Pop Up Bongo Natasha Stambuli akionesha bidhaa za duka lake la Secret Habit ambalo nalo lilionesha bidhaa zake siku hiyo.Andrew Mahiga na rafiki ake walikuwapo.Mmoja kati ya wanawake wajasiriamali mahiri mjini, Aika Lawere mmiliki wa Mbezi Garden alikuwapo pia.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
ONESHO la mauzo ya bidhaa mbalimbali zitengenezwazo na wabunifu wa hapa nchini, Pop Up Bongo lilifanyika hivi karibuni na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

Mratibu wa onesho hilo lililofanyikia...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya… ...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MANUNUZI KUFANYIKA DAR ES SALAAM JUMAMOSI, NI POP UP BONGO

Na Mwandishi Wetu

TAMASHA la manunuzi maarufu kama Pop Up Bongo, ambalo limeandaliwa na kampuni ya Studiored PR linatarajiwa kufanyika Jumamosi (Agosti 29) katika baa ya Triniti iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana hadi 2 usiku.
Tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya Smirnoff, ni la kwanza na la aina yake kufanyika jijini ambapo linafungua duka la muda mfupi la manunuzi ya rejareja ambapo wanunuaji watapata fursa kwa siku moja tu katika eneo maalum.
Maduka ya Pop Up...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pop Up Bongo kufanyika Jumamosi hii Triniti Oysterbay Dar

Nuya Essence.

Founder of Branoz Collection Bahati Abraham with customers.

Secret Habits Seller servings customers.

Pediah John, Founder of PSJ Brand with customers.

Na Mwandishi Wetu

WASANII mbalimbali wa muziki na maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oysterbay katika  tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo.

Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

POP UP BONGO ilivyofana, Triniti Bar Oysterbay chini ya udhamini wa SMIRNOFF

Co- founder wa Pop Up Bongo Natasha Stambuli akionesha bidhaa za duka lake la Secret Habit ambalo nalo lilionesha bidhaa zake siku hiyo.

Andrew Mahiga na rafiki ake walikuwapo.

Mmoja kati ya wanawake wajasiriamali mahiri mjini, Aika Lawere mmiliki wa   Mbezi Garden alikuwapo pia.

Mbunifu wa mavazi nchini wa lebo ya Branoz Collection, Bahati Kombe (katikati) akipanga bidhaa zake wakati wa Tamasha la Pop Up Bongo lililofanyika juzi Triniti Oysterbay chini ya udhamini wa kinywaji cha...

 

9 years ago

Michuzi

POP UP BONGO KUFANYIKA JUMAMOSI HII TRINITI OYSTERBAY DAR ES SALAAM

Na Mwandishi WetuWASANII mbalimbali wa muziki na maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oyster bay katika tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo. 
Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Akizungumzia kuhusiana na tamasha hilo mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli alisema kuwa milango...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Ofisi ya Makao Makuu ya Magereza pamoja na Mkoa wa Dar es Salaam wakisikiliza kwa...

 

11 years ago

GPL

AUNT KUFUNGA NUSU BONGO, DUBAI

Na Mayasa Mariwata STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye ambapo atauanzia mfungo Bongo na kumalizia Dubai.
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel Akizungumza na paparazi wetu, Aunt alisema ameamua kufunga Ramadhani nchini na kumalizia Dubai kama ishara ya kumkumbuka mumewe aishie Dubai. “Kama mnavyojua mume wangu yupo kule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani