Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA MANUNUZI KUFANYIKA DAR ES SALAAM JUMAMOSI, NI POP UP BONGO

Na Mwandishi Wetu

TAMASHA la manunuzi maarufu kama Pop Up Bongo, ambalo limeandaliwa na kampuni ya Studiored PR linatarajiwa kufanyika Jumamosi (Agosti 29) katika baa ya Triniti iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana hadi 2 usiku.
Tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya Smirnoff, ni la kwanza na la aina yake kufanyika jijini ambapo linafungua duka la muda mfupi la manunuzi ya rejareja ambapo wanunuaji watapata fursa kwa siku moja tu katika eneo maalum.
Maduka ya Pop Up...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

POP UP BONGO KUFANYIKA JUMAMOSI HII TRINITI OYSTERBAY DAR ES SALAAM

Na Mwandishi WetuWASANII mbalimbali wa muziki na maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oyster bay katika tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo. 
Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Akizungumzia kuhusiana na tamasha hilo mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli alisema kuwa milango...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pop Up Bongo kufanyika Jumamosi hii Triniti Oysterbay Dar

Nuya Essence.

Founder of Branoz Collection Bahati Abraham with customers.

Secret Habits Seller servings customers.

Pediah John, Founder of PSJ Brand with customers.

Na Mwandishi Wetu

WASANII mbalimbali wa muziki na maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oysterbay katika  tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo.

Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamasha la manunuzi kufanyika Dar Jmosi

Na Mwandishi Wetu

TAMASHA la manunuzi maarufu kama Pop Up Bongo, ambalo limeandaliwa na kampuni ya Studiored PR linatarajiwa kufanyika Jumamosi (Agosti 29) katika baa ya Triniti iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana hadi 2 usiku.

Tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya Smirnoff, ni la kwanza na la aina yake kufanyika jijini ambapo linafungua duka la muda mfupi la manunuzi ya rejareja ambapo wanunuaji watapata fursa kwa siku moja tu katika eneo maalum.

Maduka ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamasha kubwa la burudani la INSTAGRAM PARTY kufanyika Jumamosi viwanja vya Escape One Mikocheni jijini Dar


Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba.

Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha kubwa la burudani la Instagram Party litakalofanyika Jumamosi katika viwanja vya Escape One Mikocheni likiwa na kauli mbiu Bongo Throw Back. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Krantz Mwantepele.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.

Na Dotto Mwaibale

KAMPUNI ya Freconic...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMA NATURE NA WENZAKE KUITEKA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA LA KOMAA LITAKALOFANYIKA JUMAMOSI UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA

Msanii Juma Nature 'Kiroboto' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini  pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo, ambao...

 

11 years ago

Michuzi

Mnada mkubwa wa Isuzu Pick-Up Double Cabin na Malori kufanyika Jumamosi hii Kijitonyama, Dar es salaam

We shall sell 19 Isuzu PickUP Double Cabin and 9 Volvo & Leyland DAF trucks by public auction this Saturday 10th May 2014. Viewing is as from Today and Tomorrow at Mancity Car wash grounds, Kijitonyama , Mabatini road. For further info's Contact : Universal Auction Center, +255754 284926

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym kufanyika Septemba 6, 2014 uwanja wa mwenge, Dar es salaam

KLABU 12 za timu za soka za maveterani zinazooundwa na nyota wa zamani wa kandanda nchini zinatarajiwa kuchuana katika michezo maalum ya Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym, itakayofanyika Septemba 6 kwenye uwanja wa Mwenge, Dar es Salaam.Aidha zaidi ya klabu 30 za Jogging nazo zinatarajiwa kupamba tamasha hilo ambalo litahusisha pia michezo mbalimbali ikiwamo ya netiboli, kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia na kukimbiza kuku.Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Andrew Mangomango, klabu za...

 

9 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Black Sensation, Lilliane Masuka (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Tamasha la Fahari ya Mwafrika litakalofanyika viwanja vya Club ya Escape One, Oktoba 3, 2015 Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni hiyo, Gabriel Manyaga na Mkurugenzi wa Ubunifu wa kampuni hiyo, Charlotte Mwaigwisya.  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya Black Sensation,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani