Tamasha la manunuzi kufanyika Dar Jmosi
Na Mwandishi Wetu
TAMASHA la manunuzi maarufu kama Pop Up Bongo, ambalo limeandaliwa na kampuni ya Studiored PR linatarajiwa kufanyika Jumamosi (Agosti 29) katika baa ya Triniti iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana hadi 2 usiku.
Tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya Smirnoff, ni la kwanza na la aina yake kufanyika jijini ambapo linafungua duka la muda mfupi la manunuzi ya rejareja ambapo wanunuaji watapata fursa kwa siku moja tu katika eneo maalum.
Maduka ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
TAMASHA LA MANUNUZI KUFANYIKA DAR ES SALAAM JUMAMOSI, NI POP UP BONGO

TAMASHA la manunuzi maarufu kama Pop Up Bongo, ambalo limeandaliwa na kampuni ya Studiored PR linatarajiwa kufanyika Jumamosi (Agosti 29) katika baa ya Triniti iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana hadi 2 usiku.
Tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya Smirnoff, ni la kwanza na la aina yake kufanyika jijini ambapo linafungua duka la muda mfupi la manunuzi ya rejareja ambapo wanunuaji watapata fursa kwa siku moja tu katika eneo maalum.
Maduka ya Pop Up...
10 years ago
Vijimambo05 Dec
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Tamasha la Kiswahili kufanyika Dar
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni litakaloandaliwa na Shirika la Kilimanjaro Dialogue Institute kuanzia tarehe 21-22 Machi 2015.
11 years ago
GPLTAMASHA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA KUFANYIKA DAR
Mkurugenzi wa Zion Foundation, Junior Zion, na mratibu wa tamasha, Karen Dolah, wakizungumza mbele ya waandishi wa habari ( hawapo pichani).
Waandishi wa habari wakiwasikiliza viongozi wa Zion Foundation.…
11 years ago
Michuzi
Tamasha kubwa la watoto kufanyika Dar May 31 na June 1

Hili ni tamasha kubwa zaidi litakalowakutanisha watoto wengi wa jiji la Dar es Salaam na maeneo ya jirani kufurahia kwa pamoja michezo wanayoipenda zaidi na pia...
10 years ago
Michuzi
TAMASHA LA QASWIDA SASA KUFANYIKA MEI 31 JIJINI DAR

10 years ago
GPL
10 years ago
GPL
10 years ago
GPLTAMASHA LA MICHEZO, AFYA KUFANYIKA JUNI 14 LEADERS JIJINI DAR
Mratibu wa tamasha hilo, Dimo Debwe Mitiki (katikati) na Meneja wa Benki ya CRDB Bank ambao ndiyo wadhamini wa tamasha hilo, Leevan Maro (kushoto) na mratibu wa tamasha hilo, Josephine Kayombo Mratibu pia wa tamasha hilo. Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania