Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Australia yaifunga Scotland

Hatimaye Australia imefanikiwa kuifunga Scotland katika dakika moja ya mwisho ya mchezo katika mashindano ya kombe la dunia mchezo wa Raga hatua ya robo fainali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Simba yaifunga Azam FC 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Raha ya ushindi. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAIFUNGA AZAM FC 3-0

Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanya imeshinda 3-0.  Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani leo. Kikosi cha Azam FC.

 

9 years ago

Michuzi

AZAM FC YAIFUNGA TOTO AFRICAN 5-0

 Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu akitafuta mbinu za kumtoka veki wa Toto African,  Hamis Seleman katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Toto African, Salum Chuku (katikati) akichuana na mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu (wa pili kushoto) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam jana. Azam ilishinda 5-0. 

 

9 years ago

Michuzi

SIMBA YAIFUNGA COASTAL UNIO 1-0

 Said Ndemla akiwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo katika mchezoa huo Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza. (Picha na Francis Dande) Peter Mwalyanzi wa Simba akienda chini.  Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Hamis Kiiza (katikati) dhidi ya Coastal Union ya Tanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ireland yaifunga Bosnia-Herzegovina

Timu ya taifa ya Jamuhuri ya Ireland,imetinga katika fainali za michuano ya ulaya

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaifunga Hospitali ya IMTU

Serikali imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), baada ya kuifanyia ukaguzi na kubaini kasoro kadhaa za uendeshaji wake.

 

10 years ago

Michuzi

URA YAIZIMA SIMBA, YAIFUNGA 1-0

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Amri Kiemba (katikati),  akiwatoka  mabeki wa timu ya URA ya Uganda  katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. URA imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)

 

9 years ago

Habarileo

Stone Town yaifunga Nyuki

MASHINDANO ya Mpira wa Kikapu ya Kombe la Karume yamefunguliwa juzi jioni katika uwanja wa Gymkhana kwa mchezo uliowakutanisha Stone Town na Maafande wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) timu ya Nyuki.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAIFUNGA KHARTOUM YA SUDAN 1-0

Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  mshambuliaji wa timu hiyo, Malimi Busungu. (Picha na Francis Dande).
 Golikipa wa Khartoum ya Sudan, Mohamed Ibrahimakiokoa moja ya hatari langoni mwake. Simon Msuva akichuana na beki wa Khartoum.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani